Picha: Afande na ishara ya V

Muone bangi zinakompeleka zikiisha kichwani ataelewa
 
Chadema na polisi damu damu we ushangai vurugu zote viongozi wake wako uraiani wanaperuzi mitaa.
 
Mbona amekaa ;alafu amelegea nadhani huyu atakuwa ni wa kule wanasema ,afandee mguu kandoo.....
 
Atuletee jina la mwangosi ndo tutajua amehamia kwa dhati
 
Maafande wote hawana ruhusa ya kuwa wanachama wa vyama vya SIASA hadharani. KAJIPANGE UPYA NA propaganda zako!.
 

1)sasa hii ni habari ya kukaa jukwaa la siasa..?!! ...

2)katika sheria za jamii forum ni lazima u acknowledge source sijaona source kwenye habari yako

3)ni wapi aliposema amehamia chadema

4)Polisi hawatakiwi kuonesha itikadi za vyama huoni kuwa unamtafutia matatizo sababu toka ameonesha symbol ya vidole viwili wewe uka assume ni chadema..!

5)umekiuka sheria za jamii forums unastahili ban

 
Huyu ndiye aliyefyatua bomu may be sasa and meditate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…