Nina wasi wasi huenda Zitto na Mbowe wanahujumu Upinzani bila ya watu tunaouunga mkono kujua,haiwezekani Zitto afukuzwe wakati wa uchaguzi mkuu umekaribia wakati ushawishi wa Zitto kisiasa unafahamika,kwanini hawakumfukuza miaka kadhaa ya nyuma?Nina wasiwasi fedha za escrow zinazosemekana kuchukuliwa na hawa mabwana wawili zimeanza kuzaa matunda.Kwa mara nyingine tena Watanzania mnaingizwa chaka na hawa makanjanja wawili.Poleni sana for trusting the wrong people, Lipumba pia simwamini maana naye alishawahi kumwokoa Kikwete.Siasa za Tanzania bana yaani pasua kichwa tu.