Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea


Short of vision! hizi ni statements za jumla mno katika siasa. Hazina uhalisia
 
Jamani huo umati mkusanyiko watu waliolipwa ili watokee? Mimi najua kwa tabia fulani za Zitto angesema wamepata wanachama laki moja. Haya twende.....
 
Kwanza angalieni hizi picha zimepostiwa saa ngapi? Halafu changanueni.
 
Ingekuwa ACT na ndio mkutano wa kwanza, wangevaa sare kaka akili za kuambiwa tumia na za kwako. Subili makambako baadae utajua.
 
Safi sana i like that, ama hakika hiki ni chama cha vijana wanaojitambua big up ACT tupo wengi nyuma yenu.
 
Sasa nyie mnaosema picha siyo za kweli si muweke za ukweli?
 
Mtu anayemsaliti mshenzi kwetu ni shujaa tulia dawa ikuingie kamanda.
 
ACT nani asiyewajua kwamba mlichangia damu kwa waganga wankienyeji...haya si maneno yangu ila Mtela aliwahi kusema mliapishwa na kuchanjiana damu....hatutaki vijana wanaoamini ushirikina mnaweza kututoa kafara nyie ACT
 
Ukweli utabakia ukweli wenye dhamira yakweli mwenyez mungu huwanao
 
Ukweli ni kuwa watu walijaa kwenye mkutano wa Zitto, lkn watu walikuwa wakizungumza waziwazi walikuja kuona hicho chama kipya kinachoongozwa na MSALITI wa mageuzi nchini..
 
Naijua songea vizuri sana.wamekwenda tu kuangalia na pia ccm wamepeleka watu wao.ukijumulisha wana ccm na watu wachache wanaomfuata.kiujumla kwa mtu mwenye akili nzima unafikiri zitto kuanzisha chama hiki ndicho kitamfanya haitoe ccm madarakani kwenye uchaguzi mwaka huu??.zitto anajua au anatambua kuwa watanzania wamechoka na utawala wa unaobebana ,wa kirafiki,husiojali kuna watoto wanakosa fee ya kwenda chuo kikuu huku watoto wao wakiwasomesha nje kwa pesa za serikali?.zitto hameshindwa kujua au kuacha kiburi kama yeye ni zaidi kwenye chama na kujikita kuunganisha nguvu kuing'oa ccm kama walivyofanya kenya??.Nini anafikiri???.Mimi mwenyewe kuna vitu sielewani na chadema na pia ukawa lakini ni naangalia nini cha muhimu kwenye kipindi hiki cha mpito.Hakuna mtu hasiojua uozo wa ccm ,sitaki poteza muda kuelezea kila kitu.wameshindwa kupelekana mahakamani ,mahakama ni yao ,wewe iba kipande cha kuku kwa mama ntilie kinacho cost sh 300.utaona nguvu kubwa inayotumia zaidi ya sh 10,000.inatamtafuta kijana aliyeiba.Naelezea hivi sio namtetea mtu yeyote anaiba hata ikiwa kitu kidogo hapana ,nimetolea mfano tu jinsi hii serikali ya ccm imefikia.kwa hiyo tuache tofauti zetu zote,tumtazame adui yetu ni ufalme wa chama cha mafisadi ccm kinaondoka madarakani iwe hisiwe.Zitto wewe ni smart lakini kwa hili umeonekana ni sio smart ,ningekupa au kukupongeza ungekaa kimya na kuomba msamaha na kujiunga kwenye vile vyama wilivyounda ukawa ili upeleke nguvu.Na kufanya kazi kwa ajili ya kuiondoa ccm ,sio unavyofanya sasa.Pole sana kwa hiyo style yako.Muda ni huu hatuna muda mwingine kuondoa ccm.piga simu kijijini kwako ,tuma msg kama 100 kwa watu tofauti ,tusiwaachie viongozi wa UKAWA tu,peleka bendera zote tatu.utakuwa umeshiriki vizuri kuing'oa ccm.Tumwache zitto aendelee kupotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…