Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

Naona ile kauli inayosema kwamba kama unataka kurudi bungeni ni lazima ujiunge na ACT inaukweli.
 
Naona ile kauli inayosema kwamba kama unataka kurudi bungeni ni lazima ujiunge na ACT inaukweli.

Mkuu kauli hiyo ilitolewa na nani? Huo umati usikutishe sana.....hahaaaaahaaaaa
 
Haya chadema watakuja na matusi hapa
 
Makao Makuu ya ACT si yangekuwa hukohuko Kasulu na Kigoma, maana Chama hiki kimekaa kiKasulukasulu na kiKigomakigoma!!!!!
 
Makao Makuu ya ACT si yangekuwa hukohuko Kasulu na Kigoma, maana Chama hiki kimekaa kiKasulukasulu na kiKigomakigoma!!!!!

Mkuu wala usipate shida hapo ndipo Slaa alipopewa msaada na askari ambao kila siku viongozi wa chadema huwatukana wawapo majukwaani.
 
mkuu nasubiria stori za kutunga kutoka kwa wafuasi wa chama cha zamani kuhusu kuzomewa kwa ndugu Zitto kutoka Kasulu.

Kuzomewa ni hali ya kawaida tu....hao waliomzomea Kabwe naamini yapo pia waliyojifunza kutoka kwake.....
 
Daaah hapo nimeamini ile kauli kuwa bwana wa nccr lzma aingie act tu zitto ni nyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…