Pic of the day!

Mhhh jamani mwacheni First Lady atumie kodi zetu kwa kuhani misiba. Mbona hata sie huwa tunakuwa selective katika kuhudhuria baadhi ya misiba? Bahati mbaya huku kwetu shamba habari huwa zinafikia baada ya ku-expire mjini,mtashangaa nauliza marehemu alikuwa na wadhifa wowote wa kiserikali, chama au kijamii?
 
Feis buku umenikumbusha maskani watoto wanapenda sana pringoz na cornflex. Wakati enzi zetu tunabamiza mihogo na viazi viliyokuwa vinachomwa kwenye samadi ya ng`ombe.
 
Current tenants wa white house wana "loho nzuriii" wanajitahidi sana kushiriki misiba ila huwa siwaoni pale inaposemekana aliyefariki anahusiana kwa njia moja ama nyingine na chama pinzani.
 
mbona hawa wachina walishawahi kumuua Mtz mwenzetu na hawakufanywa kitu!
 
mumuwe amesema wizara zitumie mbinu mbadala......nadhani mbadala umeshaanza. Nchi hii si ya amani tena.
 
amekufa kweli au ni kifo feki ndiyo kahama tz kimtindo maana wachina kwa kubumba tu hawajambo
 
Hawa jamaa hawa!!!
yani hawa Wachina Machinga anawaona kama ni wawekezaji?

Mbona hata mimi nina gereji na nimeajiri vijana kibao tu na kuna vijana wengi wanajifunza mechanics!!!
Au mwekezaji ni mchina mwenye gereji tu!! mbongo mwenye gereji ni pumbafu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…