ogm12000
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 304
- 86
Vipi wana JF? Kama kuna watu wanao programme PIC18XX family. Tujadiliane hasa kwa wale wanaotumia c high level language. Mimi ninatumia hitech PICC compiler ktk ku programme pic18xx, At the moment ninatumia PIC8F452kwenye final project yangu. Vile vile kwa yeyote ambaye anapogram pic16,pic18,pic24 anaweza kupata vitabu vizuri sana kwenye website ya amazon.com mwandishi wake ni ibrahim dogan.
PIC microcontrollers hazina tofauti sana na microprocessors, isipokuwa zenyewe zinafeatures nyingi kuliko microprocessors vile vile ndani PIC kuna microprocessors. Kwa watu wa computer engineering mara nyingi huwa wanasoma 8086 microcontrollers, watu electronics wanasoma 8051. Basi kama umesoma hizo pic haiwezi kukusombua kuprogram.
Vile vile tunaweza tukaongelea PLC, SCADA, LABVIEW ,DSPACE ...Hizi ni baadhi ya program nzuri sana ambazo zinaweza kuleta manufaa ktk mashirika yetu ya umeme ...
Tubadilishane mawazo na knowledge ktk mada hii..