PIC microcontroller programmer mpo??

ogm12000

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
304
86
Vipi wana JF? Kama kuna watu wanao programme PIC18XX family. Tujadiliane hasa kwa wale wanaotumia c high level language. Mimi ninatumia hitech PICC compiler ktk ku programme pic18xx, At the moment ninatumia PIC8F452kwenye final project yangu. Vile vile kwa yeyote ambaye anapogram pic16,pic18,pic24 anaweza kupata vitabu vizuri sana kwenye website ya amazon.com mwandishi wake ni ibrahim dogan.

PIC microcontrollers hazina tofauti sana na microprocessors, isipokuwa zenyewe zinafeatures nyingi kuliko microprocessors vile vile ndani PIC kuna microprocessors. Kwa watu wa computer engineering mara nyingi huwa wanasoma 8086 microcontrollers, watu electronics wanasoma 8051. Basi kama umesoma hizo pic haiwezi kukusombua kuprogram.

Vile vile tunaweza tukaongelea PLC, SCADA, LABVIEW ,DSPACE ...Hizi ni baadhi ya program nzuri sana ambazo zinaweza kuleta manufaa ktk mashirika yetu ya umeme ...

Tubadilishane mawazo na knowledge ktk mada hii..
 
Mhh Ningependa Mjadala uendelee...Huu Niweze kuelewa..naona kwangu ni mgumu balaa...naona nyota nyota...
 
Nakumbuka kwenye Project yangu nilikuwa na combination ya masomo mawili moja ni Microprocessor na jingine ni Project so nilitumia Microprocessor kufanya hiyo project na kwenye hiyo project kitu nilichofanya mimi ni kucontrol TRAFFIC LIGHT SEQUENCE jinsi ambazo zinaweza kufanya kazi.....ila nashukuru mungu nilimaliza vizuri.....Pia kitabu ambacho nilichotumia mimi ni cha PIC microcontrollers(AN INTRODUCTION TO MICROELECTRONICS amekiandika MARTIN BATES......Nadhani hiki kitabu kilinisaidia sana kumaliza hiyo project....ila mimi nilitumia PIC16F84A....ila zaidi nilisumbuka katika kutengeneza hiyo program maana ukiosea herufi mboja basi kila kitu hakifanyi kazi!!
 
Habari zenu wakubwa...

Kwa mdau wa kwanza uliyedai unaona nyota.. Kama unataka kujifunza zaidi kuhusu microcontrollers unaweza kuingia google na ukasoma article mbali mbali at least kupata idea. Ni topic ndefu na yenye mambo mengi sana , yani sio rahisi kwa mtu kuchangia mada hii kama hajasoma programming. Kwa kifupi microcontrollers zinatumika ktk kudesign washing mashine, viwandani kwa ajili ya security systems, monitoring systems, temperature control. Vile vile application zake zinaonekana kwenye baadhi ya vifaa vya majumbani.

Faida ya hizi microcontrollers ni kwamba ni vifaa vilivyo cheap na vinaweza kufanya mambo makubwa.
Kwa mdau uliyetumia pic16f84, nilitumia pic hiyo pia kwenye kudesign stepper motor speed control. Tatizo la hizi pic16 hazina multiplication and division kwa hiyo kama unataka kudesign system ambayo itakuwa na multiplication na division nyingi itaslow down processor, Hivyo basi ni vizuri kutumia PIC18XX Family,
Mimi nilitumia pic16F877 Katika undergraduate project kwa ajili kucontrol speed ya dc motor (200V) ilifanya kazi vizuri sana. Sasa wakati huu nafanya Msc yangu nikataka nitumie same pic ili kudesign compensator and monitoring system kwa ajili ya Humidity ventilation and airconditioning system (HVAC)..
Ikanibidi ni change pic na sasa natumia pic18f452 ... hii pic haitofautia sana na pic ila isipokuwa ina 8 A/D channels za 10 bit program memory kubwa kulinganisha na PIC16F877.

Vile vile ukisha program kupitia hitech picc au compiler yeyote unaweza kufanya real time simulation kwa kutumia proteus . Unachotakiwa kufanya ni ku compile program yako. Ukishapata file .hex, .cof unali load kwenye hiyo pic.

Nimeattach picha ya simulation ambayo nimefanya kwa kutumia proteus

Kwa wadau walio familia na hii mada wakichangia itakuwa vizuri zaidi..

Regards
 
Attachments

  • sample.JPG
    sample.JPG
    80.9 KB · Views: 98
Nahitaji PIC16F88, PIC18F452, LM35, na LCD HD44780 Nazipata wapi hapa kwetu bongo? Kwa yeyeto anayeweza kuniuzia tuwasiliane
 
We do have PIC programmers,and the ICs you need.at Dar es salaam Institute of technology karibuni wote
 
Kwa wale wanaotaka kujua zaidi kuhusu PIC microcontroller angalia kuarsa hizi
http://www.mikroe.com/en/
http://www.mikroe.com/en/books/picmcubook/
http://www.microchip.com/
http://hobby_elec.piclist.com/e_pic.htm
Zita msaidia kujua hiyo ya kwanza ni jamaa wanauza dev tools unaweza ukashusha za majaribio na ukajifunza vizuri. Wana compiler yao ya MikroC ni zuri sana na rahisi.
PIC nazipenda kama hobbyist tujadiliane, uliza tu

Hi guys!

Nashukuru kwamba funs wa PIC mpo. Bosi mimi naprogram PIC18F452 ktk Msc project. Natumia PICDEM 2 Plus ya Kijani. Kwenye project yangu nainterface na LCD. Na program kwa kutumia Hitech picc compiler. LCD imekuwa connected kwenye PORTD vile vile rd4-rd5-rd6 ni control pins rd0-rd3 ni data pins na rd7 inatumika kuturn on LCD. Nimeweza kudisplay lkn ina display rubish. Simulation works fine. Kabla hatujaenda mbali ulishawahi kutumia green board..demo board i mean. Kama kuna mtu yeyote alishatumia picdemo 2 plus nipe shout..
 
We do have PIC programmers,and the ICs you need.at Dar es salaam Institute of technology karibuni wote

Mnatumia compiler gani hapo DIT? Vipi demo board mpya zilizotolewa na microchip zipo?. Natumia mplab icd 2 ni cheap vile vile siitaji kwenda uni ilikufanya programming nafanya debbuging hapa home.. Kama TZ zinapatikana itakuwa bongo..
Kwa yule jamaa taka LM35 na LCD anaweza kupata furnell.com ila wanafanya wanatuma kwa ups..
 
vitu ulivyo post vya electronic ni mzuka ,please find me ic chip comparison ya TDA8218,can u help me with that.ntashukuru sana
 
Wakubwa mmenipa mwangaza kweli kweli Jamani now i can see the rights...baada ya nyota nyota....Kumbe dunia hii kila siku unajifunza kitu kipya..as you go along.

Thanks.
 
Hi guys!

Nashukuru kwamba funs wa PIC mpo. Bosi mimi naprogram PIC18F452 ktk Msc project. Natumia PICDEM 2 Plus ya Kijani. Kwenye project yangu nainterface na LCD. Na program kwa kutumia Hitech picc compiler. LCD imekuwa connected kwenye PORTD vile vile rd4-rd5-rd6 ni control pins rd0-rd3 ni data pins na rd7 inatumika kuturn on LCD. Nimeweza kudisplay lkn ina display rubish. Simulation works fine. Kabla hatujaenda mbali ulishawahi kutumia green board..demo board i mean. Kama kuna mtu yeyote alishatumia picdemo 2 plus nipe shout..
ogm12000 mimi natumia MikroC tangu 2008 nilikuwa natumia Microchip Assembler na ndo nilitumia kwenye mradi wangu wa BSc pale mlimani. Programer( Kiswahili?) na kibao cha maendeleo(development board) pia natumia EasyPic4 kutoka Mikroelektronika. Binafsi nimehangaika katika mazingira tofauti ya uendelezaji wa miradi ya PIC ila kwangu MikroC ni nzuri sana na rahisi kuelewa kama una msingi ya programming in C. Kwa ninavyojua ukishakuwa na HEX file haijalishi programer (kiandishi/kichomeo) gani unatumia unapata majibu yale yale.
Ushauri kwa omg12000 nenda hapa na ushushe mikroC compiler( Hivi hii nini kiswahili?) kisha weka na jaribu kutumia. Kumbuka kuna mifano mingi inayofanya kazi na maktaba ya mbali mbali kama za LCD, ADC, etc yaani kwa kutumia mantiki ndogo tu kuunganisha mambo utapata mambo makubwa sana. Kisha nipe mrejesho rafiki

Pia hata
ibrahim dogan Advanced PIC microcontroller Projects in C ametumia mikroC rafiki.
 
We do have PIC programmers,and the ICs you need.at Dar es salaam Institute of technology karibuni wote
Hapo DIT vinapatikana wapi? Tunaweza pata mawasiliano mimi nahitaji. Pia waweza tujuza bei ya hizo IC mlizonazo hapo ili tuwatafutapo tuje kamili. Nawasilisha
 
ogm12000 mimi natumia MikroC tangu 2008 nilikuwa natumia Microchip Assembler na ndo nilitumia kwenye mradi wangu wa BSc pale mlimani. Programer( Kiswahili?) na kibao cha maendeleo(development board) pia natumia EasyPic4 kutoka Mikroelektronika. Binafsi nimehangaika katika mazingira tofauti ya uendelezaji wa miradi ya PIC ila kwangu MikroC ni nzuri sana na rahisi kuelewa kama una msingi ya programming in C. Kwa ninavyojua ukishakuwa na HEX file haijalishi programer (kiandishi/kichomeo) gani unatumia unapata majibu yale yale.
Ushauri kwa omg12000 nenda hapa na ushushe mikroC compiler( Hivi hii nini kiswahili?) kisha weka na jaribu kutumia. Kumbuka kuna mifano mingi inayofanya kazi na maktaba ya mbali mbali kama za LCD, ADC, etc yaani kwa kutumia mantiki ndogo tu kuunganisha mambo utapata mambo makubwa sana. Kisha nipe mrejesho rafiki

Pia hata
ibrahim dogan Advanced PIC microcontroller Projects in C ametumia mikroC rafiki.
 
Chipukizi tujulishe bei ya hizo ICs mlizonazo hapo DIT na tuwasiliane na nani kupata hizo ICs
 
Vipi Kaka!
Nilikuwa nimebanwa kidogo ndio maana nikapotea. Nikweli kabisa Hex file unaweza kuload kwenye PIC yeyote no matter umetumia compiler gani. Vile vile Ibrahim dogan anatumia MikroC kama ulivyosema. Kwa sasa siwezi kutransform nakuanza kutumia mikroC kwa sababu am happy with hitech PICC na vile vile project yangu ambayo na ifanya kutumia compiler hii is almost 80% done. Tatizo ni LCD ya kwenye evaluation board ndio ilikuwa inaniletea matatizo, hivyo nimeamua ku terminate part ya LCD badala yake nafanya serial communication kupitia USART na nina display data kwenye real time program na vile vile natumia matlab kudisplay some graphs in real time simulation and it so amazing. Nimeitumia hitech picc compiler toka 2007 wakati nafanya Bsc yangu so niko familia nayo.

As long as unatumia high level language C compiler nafikiri sio tatizo sana. Maana jamaa wanaotumia ccs c compiler walikuwa nawanishauri nitumie compiler hiyo lkn nina crack version ya hitech picc na inaperform well..

Nikija TZ itabidi tutafutane...
 
Karibu kaka

Nakutakia kila la kheri katika mradi wako maana unatia moyo. Tutafutane maana huku kuna matatizo mengi yanayo hitaji ufumbuzi na kwa mtazamo wangu PIC zitaweza kutatua mengi na kwa ufanisi mkubwa. Ni vema kama nitapata mawasiliano yako.

Nakutakia kila la kheri.

CHIPUKIZI TUJUZE BEI ZA HIZO IC MLIZONAZO HAPO DIT NA NIKIJA HAPO NAZIPATA WAPI?
 
Du mmenikumbusha mbali kweli, imebidi nifukue makablasha yangu na kuanza kumsoma tena huyu Bwana Gary Dunning na mambo yake ya Programmable Logic Controllers. Nice!.
 
Ohhhhh PIC programmer mpoo nashukuru sasa JF ipo juu tena leteni changamoto. Chipukizi wapi tunapata hizo PICs, Xtals, na LCD displays
 
Back
Top Bottom