Physical attraction and love

Theodora

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
806
Reaction score
584
Habarini wanaMMU.

Ili mapenzi ya dhati kuwepo, lazima kuwepo na physical attraction kati ya mke na mme? na je, mapenzi ya dhati yanaweza kuexist bila physical attraction? (hapa ni kwenye mahusiano/ndoa). Na bila physical attraction uaminifu kwenye mahusiano utakuwepo?

Na pale ambapo mtu anapoteza physical attraction kwa mwenzi wake, nayo mapenzi yanaisha? Kwa mfano, endapo kile kilichokuvutia kwa mwenzi wako labda miguu, akapata ajali na kupoteza hiyo miguu, utaacha kumpenda?

Na je, personality attraction inayo nafasi kwenye mapenzi ya dhati?

Nimeona marriage counselors wengi wanasema kwamba physical attraction ni muhimu ili mahusiano yadumu ndo maana nauliza haya maswali. Hata hapa MMU wengi husifia more on physical attributes.
 
Unaweza kuwa in love na mtu huku you dont love that person...na Unaweza love someone ingawa hauko in love nae
 
Chukulia mtoto mtukutu wazazi wanakasirishwa nae but hawaachi kumpenda.....Halafu chukulia mtu ambae hakuvutii lakini yuko so nice and sweet to you....Unaweza tu kuwa na mahusiano nae ingawa hauko in love

Exactly
 
Chukulia mtoto mtukutu wazazi wanakasirishwa nae but hawaachi kumpenda.....Halafu chukulia mtu ambae hakuvutii lakini yuko so nice and sweet to you....Unaweza tu kuwa na mahusiano nae ingawa hauko in love

Then by this unakubali kwamba physical attraction ni muhimu ili mapenzi ya dhati kuwepo.... Reference ya kwanza naomba utoe mfano kwenye mahusiano au 'eros love'. Maana mapenzi ya wazazi kwa watoto ni unconditional nazungumzia kwenye romantic relations na wanandoa.
 
physical attraction and personality are important for marriage ,
importance of former depends upon ur appetite for sex and second one for that of understanding.
so both are important for a lasting marriage, but if I have only one alternative then I will go for a personality
 
Uwiii na nzao hii ya saba, lazima nipigwe chini.

Mapenzi hasa ya muda mrefu, mwpmekano huwa na nafasi ndogo, ndio maana hata mwenza awe mzuri vipi akikuudho unamiona kama zamadamu.

Upendo wa kweli ni zaidi ya mwonekano.
 
Sema tu nashinrdwa changia sababu ya teknolojia, tachi.skroj noma.
 

Sio Lazima...kuna umri hasa below 35 ndo physical ina umuhimu mkubwa..but ukizidi hapo character ndo kila kitu
 
mmh! Sijakuelewa.

Mfano msichana mdogo anakuwa na mtu mzee mtu Mzima ambae mwanzo hakuvutiwa nae labda alifata pesa but in time akajikuta anampenda...but hasisimki sana kama akipata bf handsome wa umri wake
 
yaani mimi kadri siku zinavyozidi kwenda sielewi chochote kwenye mapenzi jamani

nabaki nje ya ulingo nikiangalia watu wakiplay love games

damnnnn everything is complicated
 
ndoa bana ndo maana mtume Paulo alisema mambo ya ndoa ni siri kubwa. nakuhakikishia wanaume wengi tunapenda baada ya kutamani na hilo akina ke inabidi mlijue. haya maandiko enyi wanaume wapendeni wake zenu kama kristo alivyolipenda kanisa!! ni maneno maziiiiito sana ambayo hayataangalia mke alikuwa na miguu mizuri sasa imekatika ajalini, alikuwa na macho mazuri sasa ni kipofu n.k kupenda mke au mme kunapaswa kusibezi kwenye physical attraction au personality! kwa wale wanaoamini katika biblia!
 
exactly what I have asked the boss to explain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…