Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,119
Ndio, Ifakara au Mbeya sijuwi, anza na Medical Assistant, maliza, piga job kidogo kama mwaka au 2, apply Muhimbili, endelea na kusoma udaktari kijana...Naombeni ushauri wadau,
Dogo kapata III ya 14 combination ya PCB kidato cha 6.
GS - F
Physics - D
Chemistry - E
Biology - E
BAM - D
Ataweza kutapata MEDICAL college MD ?
Tunaomaba ushauri tafadhali ?
Duh!!!kwakua hiyo STDVII ni ile ya "UPE" ndio maana umegundua kala msumari wa moto!Hata sie STD VIIB hapo umelamba garasha.
Post sent using JamiiForums mobile app
πππmamdenyi wewe hufai kwa afyaHata sie STD VIIB hapo umelamba garasha.
Post sent using JamiiForums mobile app
labda ingekuwa kipindi cha JK!Ndio, Ifakara au Mbeya sijuwi, anza na Medical Assistant, maliza, piga job kidogo kama mwaka au 2, apply Muhimbili, endelea na kusoma udaktari kijana...
Usimfariji...mwambie ukweli kwamba matokeo ni mabaya ..akasome allied health sciencesSiyo mbaya sana japokuwa mimi nilisoma PCM nikabashite niliamua kwenda cho cha dip nikasoma miaka 3 kisha nikapata kazi 6K kwa mwezi ila sasa nilichokuwa natamani nipate degree tu basi ndo nasubiri nianze kuapply nitajisomesha maana nina hela nishajipanga