Phrases you Should Never Tell Your Woman

Phrases you Should Never Tell Your Woman

Ukimpenda mtu kwa dhati hauhitaji kufundishwa nini umwambie or nini umfanyie mwenzio....Feelings zako ndio driver wa kila kitu....Zipo couple nyingi sana zinatukana na kudundana balaa but wako very happy na hawaachani....Wengi wanaojifunza mapenzi kupitia makala za watu wengine ndo hawadumu katika mahusiano...Acha vitu viende naturally, kama kutukanana ITS YOUR THING go ahead and do it, as long as mpo comfortable with each other..
I hope that's your thing
 
Nlikuaga nayo hyo #7 wakat nikiwa na ex wng lkn sahv sijui imepotelea wap coz sijawah kumtamkia wife hata siku1
 
hizo ni za kizungu, huku uswahilini tunaporomosheana mitusi mpaka basi na kesho tuko pale pale
 
I hope that's your thing
It is...Mimi mke wangu ikifika mida ya kutoka job tu sometimes nakuta text..

"Mme wangu malaya wako nawashwa huku nakusubiri uje kunikuna"

Na mengine mengi tu huwa tunaambiana nikiyasema hapa ntapigwa Ban ya miaka mitano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom