Kila framework ipo for a specific function kama javascript coz they are OOP languages so unahitaji master which functionality???
Niaje developers. Naomba mawazo nyenu kuhusiana na php framework ip ni nzur na popular developer weng wanatumia. Nimejaribu frameworks kama codeighter, cakephp na zend bado naona chenga za mchele. Wenye experience na framework ip simple ku master. Nataman sana kujua framework especial ya php...
I have used a lot of them but these two are the best:
Yii2 and
Laravel
Full stop.
Niaje developers. Naomba mawazo nyenu kuhusiana na php framework ip ni nzur na popular developer weng wanatumia. Nimejaribu frameworks kama codeighter, cakephp na zend bado naona chenga za mchele. Wenye experience na framework ip simple ku master. Nataman sana kujua framework especial ya php...
Mijadala ya ipi framework nzuri huwa kama ushindani baina ya dini, la kufanya kwanza hakikisha umeipitia na kuelewa PHP kwa undani halafu ndio uanze kutafuta frameworks. Mimi nimepitia Frameworks nyingi tu, lakini kila moja nimekuta ni nzuri kivyake.
Cha msingi ni kuangalia ni ipi
- Fast
- Secure
- Imeconform kwenye design patterns maarufu
- Ina vibrant community
- Updates zake zinafanyika mara nyingi
- Ni rahisi ku-extend, scale n.k.
Pia ni bora ukiwa na nafasi, ukatumia muda wako kujitengenezea Framework kwa ajili ya kujifunza jinsi zinafanya kazi, ile siku utasimamisha yako mwenyewe, hapo utaona jinsi itakua rahisi kuzielewa zile stable kama Codeignitor. Tutorials zipo nyingi za kukufunza jinsi ya kufanikisha hili, anzia hapa Create Your Own MVC Framework
Miaka mitano imepita Mama DeboraMajibu ya namna hii hayamsaidii mtu aliye kwenye beginner level. Maana umezunguka umetoa maelezo general.
Yaani hata recommendation ya framework unayoona bora aanze kukomaa nayo hujatoa. Unamwacha kama alivouliza.
Ulipata ugumu gani kusema mfano:
"Mie na suggest jifunze Laravel au Symphony au CodeIgniter kwa sababu moja mbili..."
π π π πMiaka mitano imepita Mama Debora
Hata akiambiwa bado ataendelea kuuliza, kwa hiyo ni vyema kumpa maelezo muhimu kuliko kumwambia kipi ni bora yaani ni bora achague kutokana na maelezo maana kuna key point za muhimu na ukizingatia hakuna haja ya kuuliza hata uwe beginner.Majibu ya namna hii hayamsaidii mtu aliye kwenye beginner level. Maana umezunguka umetoa maelezo general.
Yaani hata recommendation ya framework unayoona bora aanze kukomaa nayo hujatoa. Unamwacha kama alivouliza.
Ulipata ugumu gani kusema mfano:
"Mie na suggest jifunze Laravel au Symphony au CodeIgniter kwa sababu moja mbili..."
Mambo ya ufufuo na uzimaMiaka mitano imepita Mama Debora