PHP Developers, Msaada wenu unahitajika hapa

PHP Developers, Msaada wenu unahitajika hapa

hbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
678
Reaction score
298
Hallow ndugu zangu, ninataka kufanya Unit testing kwenye application ninayodevelop, sasa ili niweze kuaccomplish iyo kitu natakiwa niwe na PHPUnit ambayo inatakiwa niexecute file la pear.bat ambalo linapatikana ndani ya PHP folder kwenye wamp/Xammp. Sasa tatizo langu nikiexecute ilo file linaniletea error Could not open input file: PEAR\go-pear.phar
Press any key to continue .... .

Nimejaribu kutafuta solution nimekwama, nahitaji msaada wenu jamani
 
Fuata maelekezo, ni wapi unakwama exactly? bdhacker.wordpress.com/2012/02/18/install-phpunit-in-windows-wamp-using-pear/
 
Fuata maelekezo, ni wapi unakwama exactly? bdhacker.wordpress.com/2012/02/18/install-phpunit-in-windows-wamp-using-pear/

Nimejaribu kufuata hayo maelekezo lakini napata message hii hapa kwenye picha
pear.PNG
 
Ukishafika hapo php5.3.5 cd pear halafu dir, una nini humo ndani?
 
Ukishafika hapo php5.3.5 cd pear halafu dir, una nini humo ndani?
Baada ya kulist directory zilizomo kinachoonekana ni hiki kwenye snapshot



pear-dir.PNG
 
Back
Top Bottom