Chief Lugina
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 286
- 77
Please kwa yeyote mwenye kitabu cha PHP AND MYSQL kinaitwa Begininig PHP and MYSQL E-Commerce From NOvice to Professional-Third Edition: Mimi nina Second Edition ambayo ina lack vitu flani ambavyo ninavitafuta,please kama kuna yeyote assist me.
Ninazo video training materials za mysql from begging, intermedite and advanced.
They contain everything you need to master mysql, please visit my website to watch some trials and contact me if you need a full version of it
alphonce.NET - IT video training site
0767659145
Kitu cha kwanza inabidi useme author wa hicho kitabu ni nani kabla hatujaenda kwenye google wazoefu tukupe kitabu unachotafuta. Mtaje auhor kwanza.
Very good help sir. Nimetembelea web yako kwa hakika nimezipenda hizo tutorials.
we hujui kitu so wala usihangaike kabisa, mi naongea na wanaojua code, we siumesema haujui code? https://www.jamiiforums.com/tech-ga...geneza-tovuti-ya-mchungaji-paulo-fadhili.html
Siyo kuzipenda tu nunua na ukajifunze ile next time wakiongelea watu Code na wewe upate cha kuchangia. Siyo kutuletea Artisteer na wordpress zako hapa, kitu kikizingua unashindwa hata ku-troubleshoot. maana wewe umesema haujua code https://www.jamiiforums.com/tech-ga...geneza-tovuti-ya-mchungaji-paulo-fadhili.html
We hujui kitu so wala usihangaike kabisa, mi naongea na wanaojua code, we siumesema haujui code? https://www.jamiiforums.com/tech-ga...geneza-tovuti-ya-mchungaji-paulo-fadhili.html
Please kwa yeyote mwenye kitabu cha PHP AND MYSQL kinaitwa Begininig PHP and MYSQL E-Commerce From NOvice to Professional-Third Edition: Mimi nina Second Edition ambayo ina lack vitu flani ambavyo ninavitafuta,please kama kuna yeyote assist me.
Ndugu Fadhili Paulo,Wapi mkuu Idimi? saidia vitabu tafadhali, pia muonyeshe unavitoa wapi kwani jamaa yako huku hajuwi pakuvipata.
Please kwa yeyote mwenye kitabu cha PHP AND MYSQL kinaitwa Begininig PHP and MYSQL E-Commerce From NOvice to Professional-Third Edition: Mimi nina Second Edition ambayo ina lack vitu flani ambavyo ninavitafuta,please kama kuna yeyote assist me.
Mkuu si umweleze tu jamaa wapi unazipata maake nimepitia nikaona ni zile zile tunazozipata wote for free kwenye torrentz.com Tusiuziane kazi za watu wengine, umepata bure toa bure!!!Ninazo video training materials za mysql from begging, intermedite and advanced.
They contain everything you need to master mysql, please visit my website to watch some trials and contact me if you need a full version of it
alphonce.NET - IT video training site
0767659145