Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
- Thread starter
-
- #41
Asante mkuu acha nifanye hivyo...kaka lukansola
unaweza share kazi iliyotengenezwa na software yoyote as long as it's projected in 3D view (xyz).hongera kwa kujaribu.yaonekana upo vizuri sana kwenye PS.ukiongeza size ya hilo box utakuwa umefanya jambao la maana sana.
Magembe noma, software gani hiyo? na kazi kama hiyo inakuchukua muda gani?
very impressive stuff,keep up the good work bro.you killed it in this one.big up.Hizi ni za 2013. House modelling was the main target and took most of the time. I was provided with photographic references to model from. I eventually animated it, some of you may have seen it somewhere!! The vegetation comes with the software, I just did the positioning/layout. It took one month from concept to final animation. The animation (15 seconds) rendering from 3D software took 37 hours uninterruptedly.
Computer specifications:
Processor: AMD FX 4100 Quad-Core, RAM: 16 GB, Graphic Card: NVIDIA GT 620 2GB memory, HDD: 1.5 TB.
View attachment 244999
View attachment 245000
young master bila shaka hii ni kazi ya adobe PS.hongera sana.Here is mine...
umetisha mkuu.naweza bashiri hii kwa vyoyote itakuwa ni sayari ya dunia ikiwa ktk tishio la kuvamiwa na aliens.:madgrin:Okay, so nimepata ka project kapya na kwakwel siwezi jizuia kuweka hapa na kushare na nyie wakuu,
Hii ni nimefanya mwenyewe Mwanzo hadi Mwisho, I own this!
Hii ni Screenshot ya project ndani ya software ya 3ds Max.
Well, hii sio final maana nataka nifanye video, ni test tu ya chapchap
kuona kama ninachotaka kinawezekana..
Thanks
@Wickerman