Photos: Ex Presidents Kenya Vs Tanzania

Freddie998

Freddie998

JF-Expert Member
Apr 13, 2018
680
500
Tell me, does those people work together?
Work together for what purpose? Mtu akiretire ni kazi gani anastahili afanye? Mwanaume mzima unaamkia sura za wanaume wenzako... Nikisema watanzania mna umbeya kama wanawake sitakua nimekosea
 
game over

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
6,548
2,000
Jumanne saa moja na nusu asubui! kilichokujaa akilini ni Sura za wanaume!!!?
Ambao achievements zao probably hakuna mtu kwenye ukoo wako atawaifikia!!
Fanya kazi jomba, achana na vijiwe!!!
umekurupuka mzee, what is being communicated there is the body language,
Halafu mafanikio ni suala la mtu binafsi na malengo yake, Mimi kama kijana wa Kitanzania nafanya kazi kwenye well respected office, Nipo competent, attractive remuneration, nina biashara na nalipa kodi,
Next...?
 
game over

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
6,548
2,000
Work together for what purpose? Mtu akiretire ni kazi gani anastahili afanye? Mwanaume mzima unaamkia sura za wanaume wenzako... Nikisema watanzania mna umbeya kama wanawake sitakua nimekosea
Body language speaks a lot, those guys walipigwa picha pamoja kwa bahati mbaya but they are not together..
A reason you see mzee Mkapa and Kikwete besides being retired, are still consulted in different roles internationally;
why not Kibaki ama Nyayo?
Hayo ya sura ni Nyie tu mnajistukia, Kwani Kuna tofauti gani kati ya Jiwe na Nyayo? Acha umama.
 
Freddie998

Freddie998

JF-Expert Member
Apr 13, 2018
680
500
Body language speaks a lot, those guys walipigwa picha pamoja kwa bahati mbaya but they are not together..
A reason you see mzee Mkapa and Kikwete besides being retired, are still consulted in different roles internationally;
why not Kibaki ama Nyayo?
They get consulted too. Nataka kuniambia hujawai mwona Uhuru akiwa kwake Moi
 
game over

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
6,548
2,000
Kibaki na Jakaya ndio waliinua uchumi ya East Africa hapo.
Hao wengine wote ni manuguu tu...hakuna kazi
Kwa Kikwete I disagree, he was good in some areas, he had good diplomacy, freedom of speech but the rest tuyaache.
 
H

hydrogen

JF-Expert Member
Nov 12, 2012
913
1,000
umekurupuka mzee, what is being communicated there is the body language,
Halafu mafanikio ni suala la mtu binafsi na malengo yake, Mimi kama kijana wa Kitanzania nafanya kazi kwenye well respected office, Nipo competent, attractive remuneration, nina biashara na nalipa kodi,
Next...?
Umedamkia body language za wanaume?!
Naamini kuna vitu vya muhimu zaidi ya body language ya hawa wanaume kwenye biashara yako au hata huko well respected office kwako.
 
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
1,900
2,000
Kwa Kikwete I disagree, he was good in some areas, he had good diplomacy, freedom of speech but the rest tuyaache.
Ukweli unajulikana
TZ GDP iligrow sana. Between 2005-2015,
Iyo ata most Kenyans wanajua,,,
Trade between tz na Kenya ilikuwa super,
Pia TZ was exporting alot within east Africa than now.
 
game over

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
6,548
2,000
Ukweli unajulikana
TZ GDP iligrow sana. Between 2005-2015,
Iyo ata most Kenyans wanajua,,,
Trade between tz na Kenya ilikuwa super,
Pia TZ was exporting alot within east Africa than now.
It is doing better now that Ever
That guy Killed our Education system which is Everything of our prosperity, Killed Healthcare system, corruption rose during his terms,
Incompetency in public offices, not to mention the pathetic infrastructure, and our currency died there.. Ivory and Wild animal poaching was even done by some top ccm officials wtf
But that is one side of the coin otherwise jamaa kuna some Areas alikuwa Vizuri sana pia,
To me if outweighed them, Magufuli is far better than Kikwete.
 
game over

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
6,548
2,000
Umedamkia body language za wanaume?!
Naamini kuna vitu vya muhimu zaidi ya body language ya hawa wanaume kwenye biashara yako au hata huko well respected office kwako.
Huna hoja. Kaa pembeni.
 
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
1,900
2,000
It is doing better now that Ever
That guy Killed our Education system which is Everything of our prosperity, Killed Healthcare system, corruption rose during his terms,
Incompetency in public offices, not to mention the pathetic infrastructure, and our currency died there.. Ivory and Wild animal poaching was even done by some top ccm officials wtf
But that is one side of the coin otherwise jamaa kuna some Areas alikuwa Vizuri sana pia,
To me if outweighed them, Magufuli is far better than Kikwete.
Hehe,
Acha majirani wawasifu,
Ukitaka kuskia ukweli acha jirani azungumze kukuhusu.
 
Top Bottom