Chukua Xerox , nimeziona zikipiga kazi.
Nimekupm namba ya mtum Mpigie huyu jamaa, muulize maswali yako yote kuhusu photocopy.
Baada ya hapo itakusaidia kufanya maamuzi,
NB- jamaa hauzi photocopy, ni mmiliki wa stationery tu. hivyo ongea nae alfu maamuzi mengine utajua mwenyewe sasa.
Sent from my TECNO P704a using
JamiiForums mobile app