photocopy machine canon ir 2000

kimpe

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
911
861
msaada toka kwa wataalam wa mambo jaman mashine yangu tajwa juu hapo inapiga copy upande mmoja wa karatasi vizur ukiigeuza karatas hyo upande wa pili inafifia naomba msaada kutatua tatizo hlo
 
kama hujabadili rollers muda mrefu ni wakati wake sasa!
Kavp pata iliyo original ilikuepuka kukatika mwishoni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom