Acha Dhambi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 147
- 46
Nahitaji mashine ya copy aina ya canon IR2520 wauzaji tuwasiliane NB si used nataka mpya
Nenda masumin printways, mnazi mmojanahitaji mashine ya copy aina ya canon IR2520 wauzaji tuwasiliane NB si used nataka mpya
niko mkoani
budget yako ikoje ila nakushauri achana na canon zitakusumbua sananahitaji mashine ya copy aina ya canon IR2520 wauzaji tuwasiliane NB si used nataka mpya
zipo nichek
naweza ona picha ya hali yake kwa sasa na bei zakezipo nichek
ebu elezea kidogo hapa mkuubudget yako ikoje ila nakushauri achana na canon zitakusumbua sana
buget yako ikojenaweza ona picha ya hali yake kwa sasa na bei zake
canon used ni ulaji kwa mafundi haipiti wiki unamtafutaebu elezea kidogo hapa mkuu
we unapendekeza ipi?canon used ni ulaji kwa mafundi haipiti wiki unamtafuta
Nimenunua IR2520 mpya mwaka jana. Nilishawishika baada ya kuona jamaa yangu anazo mbili, mwaka wa 4 huu na hazimsumbui kabisa.budget yako ikoje ila nakushauri achana na canon zitakusumbua sana
KYOCERA au XEROX ila bei zimechangamka sanawe unapendekeza ipi?
nazungumzia heavy duty photocopier m/c hiyo yako iko chini sana kwa kazi kubwa kubwa hata hivyo ukipata canon mpya inayotakiwa kuuzwa ulaya inakuwa imara piaNimenunua IR2520 mpya mwaka jana. Nilishawishika baada ya kuona jamaa yangu anazo mbili, mwaka wa 4 huu na hazimsumbui kabisa.
Hii yangu hadi sasa imeshapiga copy+printing zaidi ya elfu 20. Sijaona tatizo lolote. Hata dogo.
Labda isumbue baadae.View attachment 1017126
bei zake zikojeKYOCERA au XEROX ila bei zimechangamka sana
2.5m na kuendeleabei zake zikoje
Hii umenunua Bei gani?Nimenunua IR2520 mpya mwaka jana. Nilishawishika baada ya kuona jamaa yangu anazo mbili, mwaka wa 4 huu na hazimsumbui kabisa.
Hii yangu hadi sasa imeshapiga copy+printing zaidi ya elfu 20. Sijaona tatizo lolote. Hata dogo.
Labda isumbue baadae.View attachment 1017126