Photo

Photo

mazongoto

Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
19
Reaction score
2
can we pass examz in this stuation?
attachment.php
 

Attachments

  • 1397646182818.jpg
    1397646182818.jpg
    103.1 KB · Views: 1,418
hapo hakuna kufaulu....alafu unakuta kigogo toka serikalini anaenda kutembelea mashule alafu anakuta hali hiyo huku huyo kigogo kaenda na gari la milion 250
 
nishawahi muuliza mwalimu kwenye shule za mfano huu, kwanini hao watoto wasio na viatu wasivae hata malapa, yeboyebo au hata masendeu, akasema hivyo hawaruhusu shuleni, wanaruhusu viatu au peku basi.
 
That has nothing to do with performance. I studied in a school like that and I passed. I never wore shoes all my primary school life
 
Yes we can. Mbona watu wengi wamepitia hizo hali na wakatoboa tuu. hizo za kutofaulu ni tetesi tu!!!!!!
 
That has nothing to do with performance. I studied in a school like that and I passed. I never wore shoes all my primary school life

chukua like yangu mkuu. tatizo siku hizi Tanzania kila mtu mwanaharakati.
 
kuwa peku na kufaulu havihusiani kabisaa, nyie watoto mliokulia mjini hamuwezi kuelewa, mtu hajui watoto watakula nini kesho aanze kuhangaika na viatu?!!!
 
That has nothing to do with performance. I studied in a school like that and I passed. I never wore shoes all my primary school life

Well said mkuu. School uniforms do not determine student's classroom performance.
 
inakatisha tamaa na matumaini, KUNA WATU WANAVUTA LAKI YTATU KILA SIKU, NA NDIO HAO WAMETEULIWA MOJA YA MAJUKUMU NI KUAWEKA AKILA ZAO KUONDOKANA NA HALI HII, KINYUME CHAKE WANAZUA VURUGU TU, LEO TENA NIMESKIKIA WANAONGEZEWA SIKU SITINI MBELE.
can we pass examz in this stuation?
attachment.php
 
Mnataka wale watoto wenu akitoka nyumbani asubuhi ana kibakuli kina viazi vya kukaanga na vipande vya nyama na kathoda halafu anaenda kusubiria basi la shule sio mwisho wa siku 00 na masikio......Hao ndio wenye uchungu wakitoboa hakuna kulemba!!!.....
 
wengine tulichomoka kutoka huko huko!!! hakuna kukubali!! tena hao wana uniform sisi LUbega tu!! twende mbele
 
Katika mazingira haya haya nimemaliza shule na sasa naendelea na elimu ya juu naamini nitafika..!! Hata hawa wakiamua watafika wanapopataka.. Penye nia pana njia haijalishi ni eneo gani
 
Kama kufauli ni kuvaa viatu basi vijijini wanafunzi wengi wasingefaulu
 
usingle nmechoka mabint niyoe shavu bas auuu..nakusubili
 

Attachments

  • 1398060265963.jpg
    1398060265963.jpg
    8 KB · Views: 124
msimu huu nomanoma .bila UEFA cup bridge lazma kisanuke.ama nnnn
 

Attachments

  • 1398061099565.jpg
    1398061099565.jpg
    39.4 KB · Views: 116
Back
Top Bottom