Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
The voyeur
Wee MMP, una ugomvi na chesii
Karibu bana, hatutakutenga
Afu naskia mnauza kabati lenu la makombe? Kweli?
Ha ha ha ha ha ha
Ukiwa mshabiki wa Aseno, unaandikiwa na valium mtaani.
Mie nashangaa, ushabiki wa timu sio dini, si wahame tu?
Umebugi Mkuu EMT. Kama target yako ni Wenger, mafanikio yake hayapimwi hivyo.
PSG wamemtema Carlo Ancelotti kwa minaajili ya kumnasa Arsene Wenger. Unapata picha gani hapo?
Inaweza kuwa the opposite pia hasa kwenye kubet.