mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Unautani na mzee wa i culd be..Mzee ruksa si alisema siri ya kuwa kijana ni kuoa wake wengi?Hata mimi niko na mpango huo na ndio maana nimeoa Zanzibar.
Huyo hawezi tena, ameshachelewa mkuu!Unautani na mzee wa i culd be..Mzee ruksa si alisema siri ya kuwa kijana ni kuoa wake wengi?
Safi sana
Nukuu za prezdaa hizo hazina mbele wala tijaUnautani na mzee wa i culd be..Mzee ruksa si alisema siri ya kuwa kijana ni kuoa wake wengi?
Wakina Sizonje wapo wengi kumbe?