Photo:kunani huku ndani??

"..kuna WASWAHILI jambo la kipuuzi limephotoshopiwa wanaona LA MAANA.."JK NYERERE
 
jamaa kaamua kuchungulia ndani zaidi sijui aone nini??

View attachment 65569
Huyu jamaa ndiye mtaalamu wa kivisimamisha hivi vinyago na ameithinishwa na bureau of standards sasa alikuwa anaangalia kama walikumbuka kumvalisha chupi wanazouza pia hapo dukani. Ila angalia nili picha tu lakini hamasa!
 
sanamu anavyopenda ngono kajilegeeeeeeeeeeeeeeeza,atapata mimba shauri yake na hospitali zao hazijatengenezwa bado sijui atazalia wapi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…