Wakuu nimehangaika sana kutafuta kwenye mtandao photo ediditing applications for android lakini nilizopata hazina features makini, ni za kawaida mno kama kuweka borders, kubadili rangi na features nyingine zinazofanana na hizo. Kwa mwenye ufahamu naomba anijuze yaani nahitaji application ambayo inaweza kufanya advance features kama; kuunganisha vipande viwili vya picha tofauti kuwa moja; kubadilisha picha kuwa na sura tofauti kabisa n.k nadhani nimeeleweka wakuu.