Philosophy is a disease for both theists and atheists

[emoji23][emoji23]hard to swallow,You have a very very defensive egoistic mind.take it easy ,life is just a dream you only need to wake up and start living
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Fikra na mawazo yangu ningali hai huchagiza kuyatambua, kuyaelewa na kuuliza mazingira yangu ningali hai.Fikra na mawazo hupata majibu sahihi au kutopata kutokana na fikra na mawazo yaliyo ndani ya uhai wangu.

Majibu ya fikra na mawazo yangu hutokana na tafiti halisi katika mazingira yangu pamoja na majumuisho ya watu ambao wamefanya tafiti halisi zinazo endana na fikra na mawazo yangu.

Fikra na mawazo yangu huenda mbali nje ya mazingira ya uhai wangu na kuuliza maswali mengi ambapo majibu yake huwa hayana hitimisho maana nje ya uhai hakuna tafiti wala mawazo ya mtu fulani ambaye amewahi leta shuhuda nje ya uhai kutokana na fumbo lililopo.
 
Huwezi kuthibitisha Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.

Unalazimisha tu kwamba yupo.

Is God totality or nothingness?

God can't be totality and nothingness, titality is not nothingness.

You are contradicting yourself.
 
Still playing mind games by just words just impression nothing else
Wewe ndiye unaandika vitu vina contradiction.

Mara Mungu ni nothingness, mara Mungu ni totality.

Absolute rubbish.
 
[emoji23][emoji23]hard to swallow,You have a very very defensive egoistic mind.take it easy ,life is just a dream you only need to wake up and start living
That is because you are spewing utter bullshit here.
 
Hiyo simu unayotumia watu wamethink logically ndio wakaja nayo hiyo self denial ni real tu kama ukiishi kama monk wa milima ya Himalayas mda wote ukawa una meditate.
Between brain ina pande mbili right and left naona hata hujui zinafanyaje kazi.
Mimi nilikuwa napinga kuhusu kuchua general philosophy yote useme ndio logical sijui ulikuwa hujui kama kuna branch ya logic inayodeal unavyovisema.
Last unapoongelea Mungu wa dini yeyote unaongelea philosophy
 
Mkuu embu amka naona unausingizi
 
That is because you are spewing utter bullshit here.
It has to look that way because the Mind cant accept, it needs courage,am not judgemental but you are too afraid
 
Huwezi kuthibitisha Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.

Unalazimisha tu kwamba yupo.

Is God totality or nothingness?

God can't be totality and nothingness, titality is not nothingness.

You are contradicting yourself.
Mungu ni muweza ya yote mema,mabaya,wadhambi,watakatifu,amani,vita,ukweli,uwongo vyote vyake,ni mjuzi wa vyote vibaya na vizuri,ana upendo wote ndo maana ukitaka kua we ua,ukitaka kubaka we baka ukiona haifai acha,its balance,the law of universe inasema what you sow is what you reap,so kama uliwekeza kwenye negativity utaexperience the same fate ili kubalance after rebirth kama utawekeza kwenye positivity same applies ,halafu God is not an entity is nothingness you cant prove nothingness though nothingness exists,without nothingness there is no somethingness.

Yes God is totality am not here to argue or to goldpaint that crust of your mind am here to share just an experience not convince any of it because it all here now,it is just present,is your decission whether to see it or not,Majibu yote nshakupa ila una penda spining because always ego doesnt want to die it wants to to live it hence depends in time ndo maana unazunguka zunguka tu hapa unaremba maneno badala ya kuelewa nini nacho share.
 
Wewe ndiye unaandika vitu vina contradiction.

Mara Mungu ni nothingness, mara Mungu ni totality.

Absolute rubbish.
Tatizo Mungu wa hizi dini za duniani zinazotumia philosophy na logic kumdefine huyu Mungu,kwa kumfikiria katika kichwa kuwa a certain kind of imagination,hii idea ambao imekuwa constructed kwenye minds inawatesa sana theists na atheists,kwasababu you seek to find an illusion in a future hence arguing,mimi huko siko ,mimi i dont need future,goals,ambitions,plans,purpose,leveling up because am just herenow,am at eternity,timeless,present,am only living,i feel the presence of the ultimate now i dont seek,because the source of my origin is within and without when they collide,my source of creation is just of NO MIND STATE i feel ,i dont imagine,how can i prove what i feel ,just be you and you can feel the same
 
Nalo fumbo ndio mlango wa Mbingu,nalo fumbo ndio KIFO,nalo fumbo ni kuzaliwa upya
 
Kaka tafsiri kwa kiswahili basi na sisi tukuelewe!!!Lugha ya mkoloni tata
 
Mkuu umemwambia mambo yale yale ninayomwambia all along.

Akitaka kuiponda falsafa, aelewe hata herufi za alphabet ni logic na falsafa.

Kwa hivyo aiponde bila kutumia herufi za alphabet ya aina yoyote.
labda hapo ataweza.

Lakini akishatumia systematic way yoyote, kashaingia kwenye logic na philosophy.

Akiiponda logic na falsafa, wakati bado anaitumia, atakuwa kituko tu.
 
Philosophy thinks ABOUT God and hence goes on missing God. It goes on spinning and weaving
theories around and around; it never hits the target.
When Philosophy gets applied to work on a physical reality, it does make that physical reality become missing; whereas if applied to any imaginary situation, it makes them appear real.
In this respect therefore, Philosophy was invented to work on an imaginary world ONLY and not on the real physical word
 
Wapi nimeiponda philosophy?mbona unakuwa mgumu kuelewa nimesema philosophy na logic haiwezi kuwapatia majibu midahalo ya theists na atheists kuhusu thibitisho lao la huyo Mungu wanaotaka sijui kumjua sijui kumwona thats non of my business,nimesema ukitumia philosophy na logic kupata a definite conclusion au solution za argumentation zenu philosophy haiwezi,hence ni kama cancer inawala watu taratibu na watapotea bila results,nikasema ukitaka kupata majibu lazima uingie kwenye uwanja wa illogical ambayo ni ngumu kwa mind ku bare maana kwenye majibu ni subtle,si kwamba naipinga no,nachosema majibu yenu mtaishia kujaza uzi hakuna hitimisho the only way is to go beyond logic na kwenda beyond mtu anona anaacha utashi na maarifa yake anaanza kujiona kama mjinga na akili inagoma maana inataka kuwa dominant


Sasa sijui kipi hamuelewi,my experience is simplicity not complexity,it doesnt need knowledge it just need courage,pain and innocence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…