Philosophy is a disease for both theists and atheists

God = nothingness

Nothingness = non existence

God = does not exist
 
Logic its just communication,philosophy is just study of knowledge attained by whatsoever,naiponda philosophy kwasababu haikupi majibu ya vitu illogical,lakini inatumika tu kama mawasiliano kumwelekeza aelewe ni namna gani anaweza akafika kwenye illogical ,logic sends you to a door of illogical and to see the illogical logic dies.
 
Wewe hata huelewi kwamba logic ni sehemu ya philosophy.

Na huelewi kwamba logic ipo hata bila communication.
 
God = nothingness

Nothingness = non existence

God = does not exist
Ndo maana nikasema knowledge makes people fools,una kimbilia kwenye argumentation na sio understanding,yani unatumia nguvu nyingi sana kudefend ujinga wa akili yako EGO kwa mawazo yawatu wengine ambao nao ni failures,wamekufa kichwani wakiwa na garbages 300TB za ujinga na chaos and confusion,EGO inamfanya mtu awe mjinga tu yani unaandika upuuzi bila kuthink straight ,Ego inapenda speciality,extra-ordinariness,superior,knower,doer,somebody,prestige,power ndo maana kichwani umejaa ukungu wa Maarifa useless,hivi umeelewa hata nilicho andika,tatizo mnakariri sana punguza ujuaji ni shimo hilo
 
Hata hapa umetumia falsafa na logic ku argue, right?
 
Wewe hata huelewi kwamba logic ni sehemu ya philosophy.

Na huelewi kwamba logic ipo hata bila communication.
Mf Ukiwa unafikiria dress code ukitaka kwenda party ,UKAJIULIZA , sijui na nivae blue shirt au red ?wait ngoja nivae red.

Ulikuwa unafanya communication au lah?
 
Ukionesha tu ni hivi na si vile umesha argue.

Hata ukisema "I am not arguing" umesha argue kwamba "I am not arguing".
Kwahiyo "nimesha argue"au nimeongea philosophy?
 
Yani anaacha hichi anarukia hichi maana yake anataka kubishana hataki kushindwa pasipo kujua hushindani unamwelewesha unachofahamu
 
Mf Ukiwa unafikiria dress code ukitaka kwenda party ,UKAJIULIZA , sijui na nivae blue shirt au red ?wait ngoja nivae red.

Ulikuwa unafanya communication au lah?
Communication na nani?
 
Kwahiyo "nimesha argue"au nimeongea philosophy?
Kwa nini swali lako lina "au"?

Unaelewa argument ni sehemu ya philosophy?

Unamuuliza mtu "Unakaa Dar es salaam au unakaaa Tanzania?"

Kama mtu anakaa Dar es salaam atakuwa anakushangaa, kwa nini unaweka "au" kwenye swali kama vile ukiwa unakaa Dar es salaam huwezi kuwa unakaa Tanzania?
 
Sehemu ya philosophy according to whom?
 
Sina uhakika unaelewa ulichoandika,
Hata zen Buddhism ni philosophy ndio maana kun miongozo yake.
Labda Kama unaongelea branch ya logical philosophy inayo husika na rational reasoning ambayo inatumika pia na wanayasansi .
Au unaongelea philosophy za Jiddu Krishnamurti aliyeandika vitabu kama free from the known sina uhakika unaongelea nini.
 
Sehemu ya philosophy according to whom?
Logic ni sehemu ya philosophy.

Huwezi kufanya argument bila logic. Kitendo cha kulinganisha vitu na kusema ni hiki na si hiki tayari ni logic.

Hivyo.

Huwezi kufanya argument bila logic, ambayo ni sehemu ya falsafa.

Hivyo.

Huwezi kufanya argument bila falsafa.
 
According to whom?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…