Unajuaje Mungu yupo kweli na si hadithi ya uongo tu?Mada inaongelea jinsi LOGIC inashindwa kumwelewa MUNGU ndo maana katika mada nikasema ukitaka kumjua MUNGU kwa kutumia logic huwezi,kama huwezi huo ni ugonjwa haukusaidii kufahamu kilicho non-reasonable kwa kutumia logic maana hicho mnacho bishana kipo nje ya logic ni illogical,atheists na theists wanafanya argumentation na sio understandings,kama mtu kakupa logic kuwa if you want to experience the illogical drop the logical,we utakubali na ndo unategemea hapo?mbona simple,philosophy haiwezi leta jibu la mabishano yao unless waachane nayo kwa hiyo mada mezani ni kama UGONJWA kama hujaelewa na hapa una matatizo au your prisoned in an ego
Lakini mbona hata ukitazama madhehebu mengi ya dini ya ukristo vyuo vyao kuna masomo ya hii kitu, je haufikirii falsafa inatoa wigo mpana sana katika kutafahamu mengi katika dimensions tofauti?Hii mada ni tamu sana, ujinga mwingi na uzandiki wa kifikra umeletwa na hizi Falsafa na Mantiki. Nakuunga mkono kwa maana hii, huu ni ugonjwa hatari sana.
Ukitaka kuwa mjinga na usiwe una fikiria mambo katika uhalisia wake soma Falsafa na Logic kama Elimu.
Nilisoma Falsafa na kadhalika nikasema Logic, sikupata humo zaidi ya kufikiri kama walivyofikiri waasisi wa fikra hizo.
Ubaya Falsafa iliingizwa mpaka kwenye dini. Kwenye Uislamu Ilmu Al Kalam (Inaingia humo Falsafa na Mantiki) zikapelekea watu kuharibu imani na kukengeuka. Waislamu walio ingiza Falsafa ujinga huu waliutoa kutoka kwa wasio kuwa Waislamu.
Ndiyo maana kwetu sisi kujifunza Falsafa ni haramu.
Hata dhana ya kuwepo Mungu ni falsafa.Falsafa katika kumtafuta Mungu ndo kituko au mada imeandikwa kiHAUSA
Hawa watu wanajaribu kuiponda falsafa.Lakini mbona hata ukitazama madhehebu mengi ya dini ya ukristo vyuo vyao kuna masomo ya hii kitu, je haufikirii falsafa inatoa wigo mpana sana katika kutafahamu mengi katika dimensions tofauti?
MUNGU hatafutwi kwa logic,MUNGU anatafutwa kwa vifuatavyoUnajuaje Mungu yupo kweli na si hadithi ya uongo tu?
Tuseme kwamba ukutaka kumuelewa Mungu usitumie logic.
Sawa.
Mimi nakuambia mimi ndiye Mungu, niamini.
Utajuaje hilo ni kweli au si kweli bila kutumia logic?
Hakuna mtu anaiponda falsafa,falsafa kwa mambo ya duniani ipo vizuri it works in a physical dimension ya nini kuiponda,ninachokuambia ni kuwa falsafa haitawapa majibu mnayotakaHawa watu wanajaribu kuiponda falsafa.
Kichekesho ni kwamba hata katika kuiponda falsafa, inawabidi watumie falsafa.
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Ukianza kwa falasafa kwamba falsafa ni ugonjwa, umeiponda falsafa, kwa kutumia falsafa, na hivyo hata wewe kuiponda kwako falsafa ni ugonjwa.Hakuna mtu anaiponda falsafa,falsafa kwa mambo ya duniani ipo vizuri it works in a physical dimension ya nini kuiponda,ninachokuambia ni kuwa falsafa haitawapa majibu mnayotaka
@kiranga hapa kwanza umeelewaMUNGU hatafutwi kwa logic,MUNGU anatafutwa kwa vifuatavyo
1.drop that MIND
2.drop that EGO
3.clear the clouds of thoughts(dont think)
4.stay silence
5.do nothing
6.be nobody
7.surrender
8.be innocence
9.be empty
its the only way to experience the presence of God and connect to the whole/totallity.
I used logic to lead you to the illogical because on the illogical is the threshold or transcend to answers that atheists and theists seek,but what you are trying to seek is not of finding is just present is herenow drop goals/future/aim/dreams stay quiet BE EMPTY and you will be AWAKENED to your source SIMPLE.
Gibberish tupu.MUNGU hatafutwi kwa logic,MUNGU anatafutwa kwa vifuatavyo
1.drop that MIND
2.drop that EGO
3.clear the clouds of thoughts(dont think)
4.stay silence
5.do nothing
6.be nobody
7.surrender
8.be innocence
9.be empty
its the only way to experience the presence of God and connect to the whole/totallity.
I used logic to lead you to the illogical because on the illogical is the threshold or transcend to answers that atheists and theists seek,but what you are trying to seek is not of finding is just present is herenow drop goals/future/aim/dreams stay quiet BE EMPTY and you will be AWAKENED to your source SIMPLE.
Na huo ugonjwa ndo unakufanya uone GIZA mpaka sasa kwa mada husika na huo ugonjwa ndo nautumia kama njia kukupelekea kwenye majibuUkianza kwa falasafa kwamba falsafa ni ugonjwa, umeiponda falsafa, kwa kutumia falsafa, na hivyo hata wewe kuiponda kwako falsafa ni ugonjwa.
You are moving in circles, chasing your own tail.
Jaribu kuiponda falsafa kwa kutotumia falsafa wala logic.Na huo ugonjwa ndo unakufanya uone GIZA mpaka sasa kwa mada husika na huo ugonjwa ndo nautumia kama njia kukupelekea kwenye majibu
God is of no proof,how can you prove that you are here while you are here,why should i proove my own existense while i see my presence,God aint a supernatural being,a human,God is "nothingness" nothingness is illogical cant be comprehended ,you have to be nothing to get your proof.God is All,Totallity thats why you can prove logically you have to face the illogical,you have to be in timeless(no time),you have to disapear and thats not my problem and its yours if you really want whatever you seek stick to what am saying you will have the answers of it nothing new dust will clear all dust will prove you wrong.Gibberish tupu.
Unajitekenya mwenyewe halafu unajichekesha.
Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
Haya mambo nimeyafatilia kwa undani sana na kwa muda mrefu sana. Shida vijana wengi wanavutiwa na Sanaa ya kucheza na maneno tu, ila watu waliishi katika mambo hayo na wakaja kutubu na ni mabingwa, na kuzama zilifika Wanafalsafa walionekana wajinga na kituko balaaa.Mkuu bora wewe umeliona hilo philosophy ni chakula cha akili ili kujifurahisha kuwa wewe ni mjuaji kumbe ni zezeta.
Shida umekariri kila uhojaji unaingia katika Falsafa na Logic, nilishawahi kukuuliza kati ya maneno na Falsafa na Logic kama fani kipi kilianza. Hukujibu hili swali, sababu linavunja msingi wa madai yenu, jibu ni maneno, Sasa jambo liko hivyo kwanini ulazimishe watu warfare misingi ya Falsafa au Logic ? Huu ni ukameme.Jaribu kuiponda falsafa kwa kutotumia falsafa wala logic.
Hapo utaweza kuondoka kwenye unafiki na ujinga.
Hili ndiyo tatizo ambalo limepelekea Wakristo kuwa wajinga wa dini yao na kuhoji juu ya maandiko Yao.Lakini mbona hata ukitazama madhehebu mengi ya dini ya ukristo vyuo vyao kuna masomo ya hii kitu, je haufikirii falsafa inatoa wigo mpana sana katika kutafahamu mengi katika dimensions tofauti?
Ukishasema God is nothingness ushakubali God does not exist.God is of no proof,how can you prove that you are here while you are here,why should i proove my own existense while i see my presence,God aint a supernatural being,a human,God is "nothingness" nothingness is illogical cant be comprehended ,you have to be nothing to get your proof.God is All,Totallity thats why you can prove logically you have to face the illogical,you have to be in timeless(no time),you have to disapear and thats not my problem and its yours if you really want whatever you seek stick to what am saying you will have the answers of it nothing new dust will clear all dust will prove you wrong.
Wewe unatumia knowledge kutafuta ambacho hakihitaji knowledge maana kipo hakitafutwi,knowledge ya nini?Jaribu kuiponda falsafa kwa kutotumia falsafa wala logic.
Hapo utaweza kuondoka kwenye unafiki na ujinga.
Ukishaandika kwa kutumia lugha tu, umetumia logic.Wewe unatumia knowledge kutafuta ambacho hakihitaji knowledge maana kipo hakitafutwi,knowledge ya nini?
Mimi ni mnafiki kwakuwa nimeipinga logic kuwa haiwezi pata ukweli?
Mimi ni mjinga nakubali ndo maana its only the ignorants are intelligent because they dont seek to be somebody,they are,just nobody.just natural,just ordinary,they dont borrow knowledge they just know,they learn,experience,face mistakes and understands,they dont discover because all is already here why should i waste my energy for?those who seek knowledge are fools because they dont Know what is already here,hence seeking,they need time,they have goals,future,purpose,they buy time to know who they are,they are fools because they are running from themselves to find themselves,they are searching for what already is,what is water,what is air,what is oxygen?so what ili iweje?you just learn and understand,not accumulate,crame and argue what time will you live,dont you know a beautiful death awaits us and the clock ticks,
Hapo juu umesema ni gibberish tupu ,hukusema umeandika philosophy ambayo ni gibberish tupu,najua aint arguing i want you to understand,the perception uione logic sijui philosophy utajua mwenyewe my point you UNDERSTAND.
GOD ni neno ambalo lina leta mkanganyiko kwakuwa watu wanavyolichukulia ni kuwa wana a kind of a certain image or display potray flani ambayo wameiconstruct mentally kila mtu hiyo image ambayo imekuwa created kwake kuna ambao wanaikataa na wengine wanaikubali japo hawaijui,wengine wana amini hiyo image na wengine wanasema sisi hatuamini tunajua na hiyo ni dhana tu,kwakuwa ni mind game na ego haikubali kuwa defeated kwa kutumia device ya logic watu huishia kwenye argumentation kwa kutumia neno THIBITISHA yani wanabishana nani ile image ego yake ipo strong.Ukishasema God is nothingness ushakubali God does not exist.
Existence is not nothingness.
If God exists, then God is not nothingness.
If God is nothingness, then God does not exist.
Ushakubali Mungu hayupo bila kujua kuwa umekubali.