Mbona tunaambiwa Samson Mwigamba ndiye mgombea wao! Alafu, mbona vyama vingine vilishindwa kumpata mgombea Urais kutoka vyama vyao hadi mgombea wao akachukuliwa nje ya vyama vyao na kumsilimisha!Bora basi angeenda CCM kama ana ubavu lakini huko alikoenda nina shaka kama atafanikiwa. Hicho chama ni bado kichanga sana kinashindwa hata kumpata mgombea wa Urais wakati kwenye vyama vingine watu wanagombana na kususa kwa sababui tu wameenguliwa kwenye nafasi ya kuwa wagombea wa Urais.
CHADEMA ndo huwa nashindwa kuwaelewa kwenye tabia za hivi.Kwa hiyo hata akina Said Mkumba, Hamisi Mgeja, Mgana Msindai, Esther Bulaya, James Lembeli, Makongoro Mahanga, Ole Telele na wengineo wamekosea?
Nibora kukosa mgombea kuliko kuweka fisadi...
Kwa hiyo hata akina Said Mkumba, Hamisi Mgeja, Mgana Msindai, Esther Bulaya, James Lembeli, Makongoro Mahanga, Ole Telele na wengineo wamekosea?
nampalapala... Jitahidi kujenga hoja ushabiki tupa kulee..
Acha kijana uokoke.. Njoo ukawa usichelewe
Well said brother.. Tatizo vijn wengi hushindwa kutofautisha harakti zao na nfasi za kisiasa.. Siasa hubadikika gafla na yapasa hujiandae vyema kisaikolojia..kakosea.. Namfaham uyo jamaa angekuja kuwa potential saaana mbeleni.. Muda utatoa majibu. Tuombe uzima
Bora basi angeenda CCM kama ana ubavu lakini huko alikoenda nina shaka kama atafanikiwa. Hicho chama ni bado kichanga sana kinashindwa hata kumpata mgombea wa Urais wakati kwenye vyama vingine watu wanagombana na kususa kwa sababui tu wameenguliwa kwenye nafasi ya kuwa wagombea wa Urais.
CHADEMA tunagawana kazi siyo vyeo kama ameshindwa akaondoka akaenda ACT ni haki yake .njaa ni mbaya sana
Mbona tunaambiwa Samson Mwigamba ndiye mgombea wao! Alafu, mbona vyama vingine vilishindwa kumpata mgombea Urais kutoka vyama vyao hadi mgombea wao akachukuliwa nje ya vyama vyao na kumsilimisha!
Kwa hiyo hata akina Said Mkumba, Hamisi Mgeja, Mgana Msindai, Esther Bulaya, James Lembeli, Makongoro Mahanga, Ole Telele na wengineo wamekosea?
Aende CCM wakati nia yake ni ''kuwatumikia wananchi wake''! Na CCM kumejaa na huko ndiko kugumu kuliko! Vijana wengi Tanznia wameingia kwenye siasa kutauta ulaji na hakuna cha mambo ya kuwatumikia wananchi kama wanavyodai. Siasa imekuwa pango la watu wanaojua kujipendekeza na kubwatuka. Hii ni kwasababu wananchi wetu wanarubunika kirahisi na kuchagua watu ovyo.Bora basi angeenda CCM kama ana ubavu lakini huko alikoenda nina shaka kama atafanikiwa. Hicho chama ni bado kichanga sana kinashindwa hata kumpata mgombea wa Urais wakati kwenye vyama vingine watu wanagombana na kususa kwa sababui tu wameenguliwa kwenye nafasi ya kuwa wagombea wa Urais.
mkuu lizaboni wote hao uliowataja hakuna atayeshinda hata mmoja; bulaya ni ndoto kumshinda wasira na lembeli hawezi kumshinda kishimba so wote naona wamekul wa chuya