Nchi zote ambazo ni washirika wa karibu wa Urusi & China ,ambazo zimeipa kisogo marekani, zina hali ngumu sana. Mfano N/Korea &Zimbabwe!Huko ndiko sehemu sahihi kusikokuwa na unafiki bhanaaa.
Big Up Duterte....!!!
Ni jambo Zuri ila nina wasiwasi sijui Bunge la Nchi yake limerithia na wananchi wenyewe....??Yanazidi kutimia na laana ya kumuua Gadafi inazidi kumuandama Raisi wa USA Barack Obama anazidi kuibomoa na kuitenga USA, sasa kwa mara ya kwanza nchi ya Ufilipino chini ya Raisi Duterte imeamua kusitisha uhusiano wake na USA na kujiunga rasmi na mhimili wa Uchina, Urusi &Co.!
Kama D.trump anavyosema ,,no one respects USA anymore" na ni ukweli kabisa, tumebakia Afrika tu ndiyo tunaolamba viatu vya Wazungu lkn Dunia yote imeshaamka!
Hii inakuja baada ya Raisi huyo wa Ufilipino kuamrisha majeshi yote ya USA kuondoka Ufilipino, sasa hili ni pigo kubwa sana kwa Obama na USA kwani Ufilipino ni muhimu sana kwa USA!
Duterte says U.S. has lost, aligns Philippines with China
Raisi wa Ufilipino Duterte akiwa na Raisi wa Uchina!
I hope he knows the recipe of food he is preparing...it wont go down quietly with US.
Mkuu tatizo Obama na huyo kibibi....!!!Tatizo siyo USA bali tatizo ni Obama, Clinton &Co.!
Hawato weza kuzitumia Mkuu, lazima watafute mahali husikaIngekuwa vizuri zaidi kama Rais wa Filipino angewakaribisha Warusi waweke a Military base Ufilipino i.e watumie Military bases zitakazo achwa na Wamerikani.
Hivi Mkuu huyo Uturuki kwa sasa vp uhusiano wake na UrusiUsijidanganye wakati wa USA kuvamia kila nchi itakayo wakati wowote itakayo umekwisha na ndiyo maana Urusi yuko Ukraine, yuko Syria, Uturuki anashirikiana na Urusi na Iran na hakuna kitu USA anafanya tena zaidi ya matamko yasiyo na tija, Dunia imeshabadilika na sasa hivi kuna balance of power au wanaita multipolar World na siyo Uniplar kama zamani!
USA anamuhitaji Mchina na Mchina anamuhitaji USA hivyo heshima ipo na hakuna wa kumpiga mkwara mwenzake!
Wala sio kujifanganya...unafikiri wamelala wanakubali matokea kirahisi kama wewe Barbosa?Usijidanganye wakati wa USA kuvamia kila nchi itakayo wakati wowote itakayo umekwisha na ndiyo maana Urusi yuko Ukraine, yuko Syria, Uturuki anashirikiana na Urusi na Iran na hakuna kitu USA anafanya tena zaidi ya matamko yasiyo na tija, Dunia imeshabadilika na sasa hivi kuna balance of power au wanaita multipolar World na siyo Uniplar kama zamani!
USA anamuhitaji Mchina na Mchina anamuhitaji USA hivyo heshima ipo na hakuna wa kumpiga mkwara mwenzake!
Huyo jamaa cku zake za kukaa madarakani zinahesabika...
Wala sio kujifanganya...unafikiri wamelala wanakubali matokea kirahisi kama wewe Barbosa?
Its obvious...Umejuaje mkuu?
Ni kweli MkuuMkuu mbona alicho kiandika Barbarosa kinaeleweka vizuri tu! Buzz word hapa ni balance of power kama ilivyo kuwa zamani.
Merikani imekwisha litambua hilo kwamba zama za kutambia Mataifa mengine na kujaribu kulazimisha NWO na ushenzi mwingine wa Regime Change auwezi kuvumilika tena i.e utakuwa challenged from now on na Mataifa mengine yenye misuli kama yeye.
Mtihani wa kwanza wa kuonyeshwa kwamba anaweza kuwa Challenged na asifanye kitu ni Syria, hivi sasa hana la kufanya zaidi ya kupiga makelele na kusingizia watu - lakini ubavu wa kujaribu kuwa confront Uchina au Urusi moja kwa moja ubavu huo hana tena - narudia kusema kwamba hilo amekwisha litambua - akijitia kimbelembele watamchangia na kumchakaza vilivyo, wata hakikisha asiwe kero tena kwa amani ya Dunia.
Kumbuka Mataifa ya Ulaya ni madogo sana kieneo ayawezi kuchukua round - wewe jeuri za Wamerikani unafikiri wangekuwa wamenyanaza bila ya kushambulia ndege za Urusi na bases zao huko Syria pamoja na majeshi ya Syria, sasa kwa nini wamenywea pamoja na ufedhuli wao,wanaishia kutoa tamko eti wataziwekea vikwazo vya kiuchumi Syria na Urusi, si NATO ina ndege zaidi ya 140 kwenye eneo hilo ukiongezea cruise missiles mbona wamekaa kimya.
Wiki hii Serikali ya Merikani imetuma wajumbe kwa siri waende kumbembeleza Dogo wa Korea Kasikazini ili wamalize tofauti zao kistaarabu, kwa nini? Hapa walikuwa wanajitapa eti watatumia B-52 na Stealth Bomber zao kumumaliza Dogo na Serikali yake!!
Dogo kakomaa kwamba wakijaribu kumshambulia basi Korea ya Kusini itageuzwa majivu vile vile na bases za Merikani huko Okinawa na Guam atazishughulikia vilivyo, Dogo kaenda mbali zaidi kwa karusha ICBM kutoka ndani ya nyambizi to prove a point - Wamerika wanajua Dogo yuko Serious atanii, Merikani itaishia kuonea/kushambulia Mataifa madogo yasiyo na nguvu za kukabiliana nao, mfano: Libya, Afghanistan, Iraq nk na sio Mataifa yenye misuli kama yeye au Taifa jasiri kama VietNam na Cuba. Wajifunze kuheshimu binadamu wenzie na kujali maslahi ya Mataifa mengine, wakifakisha hilo hawatakuwa na maadui kila kona ya Dunia.