Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Nenda facebook utawapata.
Mimi ndio Chilistina Joseph......ehee.....ulikuwa unasemaje.......?
NIliosomanao ISENGA S/M MWANZ nawatafu,philibat chando{chogo} mdogowake lei chando.lugalema lwiza{mcholaji} sami msindai{bonde la ufa} mtoto wa mgana msindai.chilistina joseph. magera machumu. zawadi masolo {zeela kisiwa} julita sika mtoto wa msoja.
Mimi ndio Chilistina Joseph......ehee.....ulikuwa unasemaje.......?
Unakumbuka enzi za plaimali?
hahahaha unapenda kunifanyisha mazoezi ya mbavu zangu kwa lazima,thx
Mimi ndio Chilistina Joseph......ehee.....ulikuwa unasemaje.......?
Kwa aina hiyo tu ya uandishi hivi unadhani msamiati "facebook" atauelewa huyu? Hukawii kuambiwa huyo facebook sikusoma naye....
MapoLomoko anawatafuta phiLibati, na chiListina, kama wapo daLisalama, itakua heLi na fuLaha kuonana
wapeni habaLi