Sasa nyie kama mnaona sio haki ,nakubalije?Mimi naelewa kabisa unachokisema lakini watu kaa bht hata hawajui unaongelea nini.
Sasa nyie kama mnaona sio haki ,nakubalije?
Halafu kuna ile mtu anakuanza yeye, mi huwa naona angekula ban yule anayeanza uchokozi bana...
Hehehee uliuliza tu bila ruhusa ya spika na wewe?
lol...ukijiweka mbele kaa fundo la msuli unaliwa kichwa....
Sasa unaumia nini Kongosho lakini, hebu sema....
Aisee kule u turn ukifungua unakutana na era, mi niliona uzi asbh nikafata link nikakuta ola, kapatwa na nini?mi nikajua serikali wametumange kimambi...
Aisee kule u turn ukifungua unakutana na era, mi niliona uzi asbh nikafata link nikakuta ola, kapatwa na nini?
U-TURN FOREVER BABYYYYYYYYY..... [TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="width: 70%, colspan: 2"] Written by Mange [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: createdate, colspan: 2"] Friday, 13 April 2012 15:55 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
Hey guys,
At first we thought ni kwamba hits zimezidi sana uturn mpaka server imeelewa, which is what the host was telling us. Ila sasa tumejua kuwa some people are attacking the website. Kudadeki wabongo noma…lol…
Anyways, we are here to stay unless I DECIDE nimechoka kublog….so acheni kujisumbua na vi certificate vyenu vya hacking 101…..
By the way I didn't know uturn ni ya maana kiasi hiki, hivi did u guys see the twitter rant about U-turn being closed down by Chadema or google ? hahaha…..
Hivi huwa mnapataga wapi hizi habari?
Anyways, thanks to the few of u who actually called me or sent me fb msgs kuniuliza….
U-TURN FOREVER BABY…..
PS: ACCORDING TO THE ADMINISTRATOR HITS ZA UTURN ZIMEONGEZEKA BY 35% IN LAST 2 WEEKS... THANK YOU WAPENZI WANGU NA HATA HATERS AHSANTENI KWA KUINGIA HUMU BILA NYIE HAKUNA MIE...NYIE NDO MOTIVATION YANGU YA KUENDELEA KUWA JUU ZAIDI ILI NIWANUNISHE VIZURI....HAHAHAHHA..MTASONYAJEEEEEE????????
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Dala dala za tabata - buguruni zipo kibao. Ukimuomba konda muda huu hata sh 100 anapokea. Ningekuja kukupic sema tu gar leo imekata wese na ATM haisomi kabisa!!Buguruni sheli wakati mie sina gari, unataka uninyweshe petrol?
Si bora useme buguruni kwa mama ntilie pale kwenye kiosk cha soda, ntakuona wa maana.
It should be seriously...maana wengine wapo tu ku provoke wengine kisha wanawasbabishia ban...Ongea na rafiki yako Paw umwambie yule anayeanza uchokozi ndo wa kulimwa seva ban
It should be seriously...maana wengine wapo tu ku provoke wengine kisha wanawasbabishia ban...
Halafu Paw tu ndo anapigaga ban?
Ntamwambia King'asti amshauri mchumbaake...
Yule jf mod 1je!?
Karudi hewani mbona.....msome hapo
Btw: niliona picha yake yenye vi sprouts kwenye bang...nimecheka mbaya!
So unfair...heri uchukue sheria mkononiHivi unaiba unyoya wa kuku, afu unahukumiwa kifungo cha maisha bila kwenda mahakamani wala loya wako kuitwa.
inauma sana, bora kuwa rebellious maana hata ukiuliza kwa upole utafungwa tu.
So unfair...heri uchukue sheria mkononi
Hehheeeee 'usininukuu'
Dala dala za tabata - buguruni zipo kibao. Ukimuomba konda muda huu hata sh 100 anapokea. Ningekuja kukupic sema tu gar leo imekata wese na ATM haisomi kabisa!!
Karibu tunywe supu ya pweza hapa sheli!
Nimekoma...Wewe shauri yako....akikusuta usije kwangu kulia.
Acha kunisingizia jamani, yule rafiki wa Gaijin...lolYule JF Mod 1 naye rafiki yako yule. Ongea naye
Rejao umemtoroka Boflo mitaa ya upanga?
Rejao kanywa chai kwa Boflo afu anataka kuja kumalizia hasira kwangu hapa Dar West.
Na mie simtaki.
Kunani leo hapo Dar west?
Kuna Live Band, mapacha 3.
Nikitoka hapa napita Travetine Magomeni kwa Mzee Yusuph.