Mnyama Hatari
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 335
- 82
nlikuwa nshakulima seva ban...aah nikakurfungulia tena!
Eeh kwani sijaandikwa kwenye id yangu 'supa modereta'?Wewe ni mod?
Eeh kwani sijaandikwa kwenye id yangu 'supa dupa modereta'?Wewe ni mod?
Eeh kwani sijaandikwa kwenye id yangu 'supa dupa modereta'?
Nilikuwa nakupa 'adivataizi'...lolKwa nini umeniban wewe?
mi nmekutana na error 502 getaway problem. nikajua paw karudi.
Nilikuwa nakupa 'adivataizi'...lol
Ukiendelea kunihojii nakubanilia mbali....
Aaah huyo mdudu sijamuona siku nyingi sijui kapotelea wapi tu.
Unoko tu ndo raha yake na tuhela tudogo dogo twa hongo na kuku wa intechick....hahahaaa ! Kuku sichukui nimeachaKuwa mod unalipwa mshahara?
Unoko tu ndo raha yake na tuhela tudogo dogo twa hongo na kuku wa intechick....hahahaaa ! Kuku sichukui nimeacha
Nilikuwa nakupa 'adivataizi'...lol
Ukiendelea kunihojii nakubanilia mbali....
Sasa unampa taizi Hatari hadi na mie???
Bht, ukija sayu ntakutesa wewe??
Heheeee hamna bana huoni nimepunguza....pole pole ntaacha kabisaaUlikuwa fisadi dagaa sasa unakaribia kuwa fisadi sangara!!
Unoko tu ndo raha yake na tuhela tudogo dogo twa hongo na kuku wa intechick....hahahaaa ! Kuku sichukui nimeacha
Wewe ni mwalimu pale seminari?