pendoharri
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 508
- 306
Inadhihilisha chuki zako.usipomjua mtu c dhambi.Dhambi NI kusema uongo kuhusu yeye.Tafuta alianzia wapi ndo utakapong'ata kucha kwa aibu yakowewe ndiye uliyetuambia habari za Mwakasege
toa sifa zake na Elimu mpaka unampa Phd
hovi hawa wote wenye Dini zao umewadharau au unawatambua uwepo wao
nimeamini ww ni mjinga wa kutupwa unayewakashifu wenzako kwa kudharau hata Haduja Kopa
Mwakasege kaanzia Mbuguni km mchimbaji / mtafutaji wa Tanzanite mpaka ya 1989 na ndiko alikouanza Uinjilist
ww endelea na Mambo ya Dini kwenye Jukwaa husika la DINI hapa unatuchokoza
Mods wakusaidie
Nikuulize swali dogo san maan nikikuuliz kubwa ntakuonea maana andiko lako linajitosheleza kuonyesha ulivyo mdogo.Haruni na wanawe waliambiwa watakula WAPI????Ninachojua hawa wachungaji wanaishi maisha ya juu na starehe huku asilimia kubwa ya wasikilizaji wao ni walala hoi, hata huyu Mwakasege nae ni mpigaji tuu bonge la jumba, watoto shule ulaya kwa sadaka zetu.
kwako ndio hana jipya au ulitaka haubiri chuki za kidini kama mnavyofanya nyie kwenye mihadhara?Mwakasege na marehemu rufufu mkandala utofauti wao ni kuwa Mwakasege anahaulisha mandishi kutoka lugha ya kigeni kuja kiswahili na kuwahubilia watu kwa njia ya injiri ila marehemu mkandala alihaurisha mazungumzo kutoka lugha ya kigeni kuja katika kiswahili
Hivyo Mwakasege hapaswi kupewa PhD kwani ni mzee wa kukopy na kupaste
Ukiwa msomaji mzuri wa vitabu ukimsikiliza Mwakasege hana jipya sema anasaidia wale watu wasipenda kusoma na wasio juwa lugha ya kigeni ila kiukweli mzee hana jipya
Acha chuki ndugu yangu hivi alishawahi kukutapelia? au unatafuta kick tu!!Huyu tapel na mchumia tumbo apewe PhD kweli? God i bage your forgiveness as i call him a global Tapel who use your words to destroy your people
Haya buana. We endelea na walimu wako hao. Wasikilize pia Goe Dav, Kilawa, Lusekelo, Gwajima, Malisa, Baba God, Bendera n.k. wote ni walimu wema sanaAcha chuki ndugu yangu hivi alishawahi kukutapelia? au unatafuta kick tu!!
okay nisisema inaweza kuwa ugumu wa maisha+njaa ndio vinakufanya uwe na chuki dhidi ya mwalimu mwakasege
Siwezi kukubishia maana sokoni hakosekani kichaa hivi nani kaongelea udini hapa wewe Mwakasege si umemjua leo watu tunajua Mwakasege tangu anaunga Unga akiwa na mkutano umeme ukikatika basi na mkutano umekwisha hana uwezo wa kuwasha jeneta aendelee na mkutano="David Harvey, post: 17747065, member: 235385"]kwako ndio hana jipya au ulitaka haubiri chuki za kidini kama mnavyofanya nyie kwenye mihadhara?
hao wengine unawajua wewe hapa tunamzungumzia mwakasege han wengine siwajui ila nawasikia tuHaya buana. We endelea na walimu wako hao. Wasikilize pia Goe Dav, Kilawa, Lusekelo, Gwajima, Malisa, Baba God, Bendera n.k. wote ni walimu wema sana
Nikuulize swali dogo san maan nikikuuliz kubwa ntakuonea maana andiko lako linajitosheleza kuonyesha ulivyo mdogo.Haruni na wanawe waliambiwa watakula WAPI????
Haujatumwa wala kulazimishwa kupelek sadakaNa wewe nikuulize mbona Paul alishona magunia ili apate pesa ya kujikimu we unafikiri alishindwa kupiga, ukiwa mtumishi sio chanzo cha kutafutia maisha na hao akina Haruni hawakuwa na utajiri wa kutisha kama hawa watumishi wetu wa siku hizi akiwemo huyu Mwakasege maisba yao ni ya juu sana tena sana.
Haujatumwa wala kulazimishwa kupelek sadaka
Kama huamin NI wew.kwan hamna mweny mbingu ivyo fuata imani yako inavyokutuma.Ila msitudanganye kupitia neno.