Sidhani kama zina maana yoyote hadi Mwl MWAKASEGE aitamani ikiwa wanapewa watu wanaozurura kwenye NCHI za watu huku wakiwafukarisha wananchi wao....zina maana gani hizo PhD zakupewandio apewe PhD? Unajua utaratibu wa kupata PhD?
Kwani Kikwete ana PhD?Hebu uweke wazi... tuanze na ule uliompa Mrema,, Kikweteeeee,,
Sawa.. ila waweza pata masomo yake kupitia U tube piaNina Kaka yangu alimwongeleaga akanivutia nimfatilie zamani, ila sijawahi kwenda anaposalisha. Naomba mkumbuke kutuambia akiwa live tumwangalie hata online kama tupo mbali na mkoa aliopo.
Amina mkuu.. ila nilitamani Tanzania ikaonyesha heshima. Kwani wezetu wa Ghana walimtunuku Pastor Mensa otabili.Nakubaliana na huduma kubwa aliyoweka Mungu ndani ya Mwakasege ingawa PHD kwenye injili haina maana zaidi tumwombe Mungu aendelee kumwinia zaidi na tuombe Mungu awainue wengine wa aina yake au zaidi
Sawa.. ila waweza pata masomo yake kupitia U tube pia
Yeye sio mtu wa kupenda misifa ni mtu anatumia karama yake angeweza kujiita nabii au mtume au bishopembu tumtukuze Mungu kwa kumuinua huyu baba ...
Amen amen amen kwa utumishi wa mtumishi huyuHakika na Mungu amezidi kumuinuaaa..