A ayubu ilomo Member Joined Jun 28, 2018 Posts 12 Reaction score 14 Sep 15, 2019 #1 Leo teeeena...habarini wanajukwaa kuna bwana mmoja anapenda kuuliza ni vipi competition ya kijana wa pcm kupata pharmacy??
Leo teeeena...habarini wanajukwaa kuna bwana mmoja anapenda kuuliza ni vipi competition ya kijana wa pcm kupata pharmacy??
Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,447 Reaction score 1,821 Sep 16, 2019 #2 Ngazi gani iyo unazungumzia wewe degree au diploma? Na vipi matokeo yake kapataje?
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,313 Reaction score 46,831 Sep 16, 2019 #3 PCM na kuwa Pharmacist wapi na wapi?? Labda kama una maanisha Pharmaceutical technician
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,685 Sep 16, 2019 #4 Darmian said: Pcb na kuwa Pharmacist wapi na wapi?? Labda kama una maanisha Pharmaceutical technician Click to expand... PCM
Darmian said: Pcb na kuwa Pharmacist wapi na wapi?? Labda kama una maanisha Pharmaceutical technician Click to expand... PCM
S Seif N Senior Member Joined Mar 31, 2019 Posts 149 Reaction score 108 Sep 16, 2019 #5 Kwa degree level ni pcb tu mwenye ufaulu stahiki