Ngoja waje ila kwa upande wangu naona pharmacy iko poa.Dogo kachaguliwa vyuo viwili tofauti kwa ngazi ya ordinal diploma....moja pharmacy nyingine water quality laboratory...ipi ipo poa kat ya hzo kimaslah ajira(kuajiriwa) au kujiajiri...ahsante
NakubaliiiiiiiiiiiiiiHongera kwa dogo, kwa ushauri wangu phamacy ipo vzr sana, kuna ajira maeneo mengi
1. Hospitalini
2. TFDA
3. private phamacy
4. viwandani
pia anaweza kujiajiri mwenyewe vzr tu na mwisho anaweza kutumia cheti chake kwa kuweka ktk duka la dawa la mtu mwingne na akapata hela bila ya kufanya kazi.
ila shule yake ni ngumu sana compared na hiyo water lab. so akaze msuli ili apate G.P.A 3.5
Sijui kama watakuelewa. Mkakati unaandaliwa na wizara ya Maji, Maji ya visima hayatatumika na binadamu mpk yapate ithibati ya maabara.
Sikudhan kama kuna mtu angetokea kunisupport, shukran mkuu, inabidi vijana wapewe elimu kubwa sana kuhusu namna ya kuelewa vitu, wasibaki kusoma vitu kutokana na mkumboSijui kama watakuelewa. Mkakati unaandaliwa na wizara ya Maji, Maji ya visima hayatatumika na binadamu mpk yapate ithibati ya maabara.
Wakati nchi ina uhaba wa wataalamu wa Maabara za Maji, Maji yanapimwa WIZARA YA MAJI na Chuo Cha Maji tu.
Si muda mrefu sheria itapitishwa na wataalamu hawa wataanza kuhitajika pembe zote za nchi!
Sent using Jamii Forums mobile app