Unavyoongea ni kama your first production app vile, nakushauri uanze cheap tu usijekuta una bugs milioni, anza na laki tatu nne, usiende zaidi ya hapo wakaja kukufunga bure, ila kama unaamini kweli app yako then bora udeal na pharmacy kubwa, ila inabidi ujipange vizuri kwenye kupitch, inabidi uwaonyeshe kua kweli wanahitaji sana software yako la si hivyo mbongo atakwambia kwani daftari si linatosha.