Habari wanajamii Mimi ni mwanafunzi katika chuo flan hapa dar es salaam Nimetengeneza software kwa ajili ya duka LA dawa,hii itakusaidia yafuatayo
Kama kunadawa ndani ya duka zinakaribia kuisha muda wa matumizi Itakupa taarifa.
Kuweza kuelewa thamani halisi ya dawa ulizo nazo ndani ya duka.
Kama una maduka mawili au zaidi. unaweza kupata taarifa za maduka yote ukiwa sehem moja.
Kufahamu kama Duka lako unaliendesha kwa faida au hasara
Ni Pm kama unahitaji