salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Wataalamu tajwa wanahitajika kwa ajili ya huduma kwenye duka jipya la dawa hapa Dar. Mwenye kuhitaji au taarifa kuhusu wahitaji tafadhali ani pm
Wewe bado inaonekana hujamaliza shule uingie mtaani na cheti chako cha pharmacy !... Hizi sio zama zile za kikwete unaweza ukacheza na cheti kama unavyotaka ! Maliza kwanza !Waliosoma hii kitu wamekua wakila pesa kimya kimya ukilinganisha wenzao wa MD na wengineo
Andaa 1 hadi 1.5 kwa ajili ya mfamasia kusimamia famasi yako
Wewe bado inaonekana hujamaliza shule uingie mtaani na cheti chako cha pharmacy !... Hizi sio zama zile za kikwete unaweza ukacheza na cheti kama unavyotaka ! Maliza kwanza !
Sent using Jamii Forums mobile app