Pharmaceutical sciences Muhimbili institution of health sciences 2017/2018

Ndio kozi zote wakat wa jk aliwaaajiri kuanzia cheti diploma mpaka degree kuanzia mwaka 2016 ndio bado sijasikia kuajiriwa watu
 
Nashkuru mkuu nadhani hiyo itakua nikama spirituality kwa mm kwenda kusoma diploma ya pharmacy
 
Kasome lab, pharmacy utajira tu mkuu, kalaghabao nyingi

Mimi huwa napenda mtu akikosoa kitu anaelezea kwa kina kwanini anadhani lab. ni nzuri kuliko pharmacy, kama Great Thinker kweli

Sasa hapa umemsaidia nini mleta sredi?Kalaghabao ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…