Phamacy vs Veternary medicine

Nashukur sana mkuu, hakika nmejifunza kitu, ubarikiwe sana
 
Ningekuwa mimi ningeenda BVM nikapige ela za wafugaji
 
nimekuelewa sana GENTAMYCINE hata mm nilikuwa na wazo kama lako tatzo changamoto iliyopo ni ada kuwa kubwa kwa chuo nilichochaguliwa pharmacy nahisi kama vle sitahimil vishindo, ahsante kwa ushaur
Ukishindwa pharmacy, hiyo veterinary medicine ndiyo huiwezi kabisaaaa....komaa na,pharmacy simpo sana huumiz kichwa ni mwendo wa pharmacokinetics na pharmacodynamics tu mwanzo mwisho ...hii nyingine ni pasua kichwaaa,a.k.a kipusaa
 
tatzo sio kushindwa kusoma course yoyote, naweza kusoma course yoyote lkn nngependa kupata uwanja mpna wa kuzielewa kiundan zaid course zote mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…