Pharmacy ndugu....wakuu mada inajieleza, nmechaguliwa multiple selection kwa vyuo viwili course tofaut yaan pharmacy na Veternary medicine, course ipi iko poa zaid na yenye wigo mpana wa ajira, mwenye uelewa mzuri khs course hizi mbili anisaidie kwa ushaur. nawasilisha
wakuu mada inajieleza, nmechaguliwa multiple selection kwa vyuo viwili course tofaut yaan pharmacy na Veternary medicine, course ipi iko poa zaid na yenye wigo mpana wa ajira, mwenye uelewa mzuri khs course hizi mbili anisaidie kwa ushaur. nawasilisha
Chuo gn na pia una mkopo?niliplan kusoma phamacy ila kuna changamoto ya ada kubwa kwa chuo nilichochaguliwa
Iyo BVM ni sua? Ada yake sio kubwa nayo?chuo ni cuhas khs mkopo nmeshaaply nasubr bdo hawajatoa loan board
nimekuelewa sana GENTAMYCINE hata mm nilikuwa na wazo kama lako tatzo changamoto iliyopo ni ada kuwa kubwa kwa chuo nilichochaguliwa pharmacy nahisi kama vle sitahimil vishindo, ahsante kwa ushaurPharmacy ni kama Lionel Messi wakati Veterinary Medicine ni kama Christiano Ronaldo. Kazi Kwako Kijana nimeshakupa hapo tayari ufafanuzi na jibu zuri sana kama hujaelewa walionielewa vizuri sana watakusaidia. Nikutakie tu masomo mema na kumbuka tu kuwa Mchezaji Kipenzi cha GENTAMYCINE na wale Wote wanaojua Mchezo wa Soka dunia nzima ni Lionel Messi a.k.a La Pruga.
Pharmaceuticalnpe mrejesho mkuu