Ya mwaka gani?
Inamaana imetengenezwa kabla kalenda haijagunduliwa?
Peugeot 404 pikup inauzwa maeneo ya Arusha mjini, iko katika hali nzuri na inaweza kufanya vizuri sana hasa kwa watu wa mashambani na ina roho ngumu hasa kwa kubeba mizigo sokoni, minadani nk. Bei ya kutupa.
LAKINI SPARE ZAKE NI ZA KUCHONGA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Nitainunua ikae Kwenye makumbusho yangu home vijana wa Auto hawaijui hata ukimpa haendeshi.
Nitainunua ikae Kwenye makumbusho yangu home vijana wa Auto hawaijui hata ukimpa haendeshi.
MIMI NILIJIFUNZIA UDEREVA KWA VW BETTLE (.MGONGO WA CHURA)spare zake zipo na mafundi wake wapo tena vijana tu lakini wengi hawapungui miaka 30. Ni nadra kupata fundi wa gari hili mwenye miaka chini ya 25 maana sio la kukagua kwa computer.