E Edwin mkw JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 544 Reaction score 120 May 1, 2014 #61 Wa kusoma said: Nasikia siku nyingine aliwaambia kila mtu arushe jiwe litakapofika ndio urefu wa maisha yake sasa kwa vile YUDA alikuwa na bonge la jiwe likaangukia mguuni mwake basi tangu hapo akaanza kumind ndio maana akawa wa kwanza kufa. Click to expand... Co kila kitu cha masihala ,fikiri kabla ya kuandika
Wa kusoma said: Nasikia siku nyingine aliwaambia kila mtu arushe jiwe litakapofika ndio urefu wa maisha yake sasa kwa vile YUDA alikuwa na bonge la jiwe likaangukia mguuni mwake basi tangu hapo akaanza kumind ndio maana akawa wa kwanza kufa. Click to expand... Co kila kitu cha masihala ,fikiri kabla ya kuandika
Mchosis JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 247 Reaction score 66 May 5, 2014 #62 Me nadhani lengo hapa c kumtania Mungu, ila ni kuonyesha ni namna gani wanadamu wanahangaikia zaidi ya mwilini kuliko ya rohoni.
Me nadhani lengo hapa c kumtania Mungu, ila ni kuonyesha ni namna gani wanadamu wanahangaikia zaidi ya mwilini kuliko ya rohoni.
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 May 6, 2014 #63 Hii safi aisee...
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 May 6, 2014 #64 petro alikua na kaujeuri ka chini chini ukifatilia nukuu.
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Sep 10, 2014 #65 Mchosis said: Me nadhani lengo hapa c kumtania Mungu, ila ni kuonyesha ni namna gani wanadamu wanahangaikia zaidi ya mwilini kuliko ya rohoni. Click to expand... Kweli mkuu
Mchosis said: Me nadhani lengo hapa c kumtania Mungu, ila ni kuonyesha ni namna gani wanadamu wanahangaikia zaidi ya mwilini kuliko ya rohoni. Click to expand... Kweli mkuu
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Sep 10, 2014 #66 janeth1 said: petro alikua na kaujeuri ka chini chini ukifatilia nukuu. Click to expand... Hahaah kivipi janeth?
janeth1 said: petro alikua na kaujeuri ka chini chini ukifatilia nukuu. Click to expand... Hahaah kivipi janeth?
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Sep 10, 2014 #67 Nelson nely said: Hahaah kivipi janeth? Click to expand... subiri nikuletee bible.
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Sep 10, 2014 #68 janeth1 said: subiri nikuletee bible. Click to expand... Haya nasubiri vifungu!