Petro kalete jiwe!!

Cpati picha ankle yohona alikuaje ,nadhani hata pindi halikuingia mkichwa duh! Jesus !
 
Weka utani kote lakini sio katika neno la mungu,biblia inasema ni Ole wake apunguzaye au aongezaye neno katika maneno yake aliye juu!
 
Weka utani kote lakini sio katika neno la mungu,biblia inasema ni Ole wake apunguzaye au aongezaye neno katika maneno yake aliye juu!

Biblia ni ya nani....!, mkusa.yuko
Wa vitabu Sabini..., vichach vya mungu mrngi cio yake....tru that..?
 
Nasikia siku nyingine aliwaambia kila mtu arushe jiwe litakapofika ndio urefu wa maisha yake sasa kwa vile YUDA alikuwa na bonge la jiwe likaangukia mguuni mwake basi tangu hapo akaanza kumind ndio maana akawa wa kwanza kufa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…