Peter (P-Square) amtusi Diamond "stupid"

Zari kaanza muziki kashinda tuzo Cha chanel 0, Diamond bado hajatoka
Tatizo wengi mmemjua Zari baada ya Diamond na Instagram kupata umaarufu
Ni kweli -- namjua zari tangu mwaka 2010 wakati huo alikuwa anapewa kick kuwa ndiye mwanamke mwenye pesa kuliko wanawake wote Ea
 
BAK hii English yako braza imeenda shule
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…