Mi nimekisikiliza. Mchungaji anajikanyaga tu. Kwanza hapo anatetea maslahi yake ooh sisis tulipoenda sijui wapi tukajifunza sijui nini. Pumba tupu. Kuna mtu kamopa live moaka mchungaji akanywea ohhh mimi sipingi vyote vya Mh. Magufuli. Kwa ujumla kaongea pumba tupu!
Kwanza hao wabunge walilitia hasara taifa kwakusafiri visafari visivyo na tija kujifunza kilimo sijui cha Maua sasa baada ya kutoka huko nini kimefanyika niupotevu wa pesa tu.
Eeh Mungu aante kumuonyesha Mh. Magufuli njia na matokeo yake anakuwa mkombozi wa waTanzania. Wanaoguswa kimaslahi, majizi na mafisadi yataguswa, Mungu azidi kukupa nguvu Neema na uvumilivu maaana nguc=vu wanayotunmia mafisadi ni hatari sana!