sidhani kama litakuwepo lamaana zaidi, maongezi yatakua kisiasa zaidi, ningeshauri kuwepo nawatuwaliosomea na wenye uzoefu wa mauhusia ya kimataifa.
hawa wanasiasa hawawezi wakachambua mambo yao wenyewe, hapo tunashindwa sana tz.
tuwatumie wataalam wetu,
jambo limitendwa na mwana ccm unataka aeleze/achambue chadema unategemea nini.......
CHADEMA ni chama cha matukio.
heshimu madaraka , waziri kivuli si wa cdm ni wa TanzaniaCHADEMA ni chama cha matukio.
Huo ndo ukweli,MTU na siasa zitatawala lkn tija ya taifa kidogosidhani kama litakuwepo lamaana zaidi, maongezi yatakua kisiasa zaidi, ningeshauri kuwepo nawatuwaliosomea na wenye uzoefu wa mauhusia ya kimataifa.
hawa wanasiasa hawawezi wakachambua mambo yao wenyewe, hapo tunashindwa sana tz.
tuwatumie wataalam wetu,
jambo limitendwa na mwana ccm unataka aeleze/achambue chadema unategemea nini.......
very poor ! huyu amekuja hapo kama waziri wa upinzani , anawakilisha wananchi wote , si wahehe tu .Bala shaka msigwa anaenda kuongelea wazungu na wezi wa afrika badala ya kwenda kuongelea wapiga kuwa wa iringa na shida zao,
Hapo ndo utajua ule unyani wa ki FIKRA aliousema mh,mtikila utakapo yona,
Atakuwa anaongelea kuhusu uhusiano wa kimataifa hayo mambo ya ufisadi muombee kipindi maalum wakat mwngineMwaka Jana katika kipindi cha mada motomoto Mchungaji p,msigwa ambaye ni mbunge wa iringa mjini alisema kuwa.ni watanzania asilimia 5% tu wanaochukia ufisadi na rushwa na wengine asilimia 95% hawaoni shida zidi ya ufisadi na hawachuki ufisadi na rushwa ,
Leo nimeona kuwa utakuwa Chanel 10
Natautufafanulie ni kweli watanzania asilimia 5% ndo wanaochukia ufisadi? Ambayo kwa upande mwingine asilimia 95% wanaunga mkono ufisadi,
Wamejipanga kuwa wasimamizi wa serikali daima, Msigwa na chadema kwa ujumla wako predictable sana. Najua waziri kivuli atakuja kuongea umbea wa siasa tu, hana jipya! Alafu Msigwa anapewaje wizara ya mambo ya nje? Hivi wangeshinda ndo angekuwa yeye waziri wa mambo ya nje? Kweli hawa ni wapinzani wa serikali daima.CHADEMA ni chama cha matukio.