Tune TBCHata sijui namuonaje.nimebonyeza namba 110 now nacheki zangu movie la Lone Survivor
Amesemaje huyo jamaa? Mimi nilikuwa namuangalia Trump na Waziri Mkuu wa Canada.anamkingia kifua mfalme si unajua jamaa amepewa uenyekit wa kanda ya kusini
Kumuelewa msigwa lazima IQ yako iwe inatosha, lakini yule mwingine huna haja ya kuwa nayo kubwa!! Kwani ni vapour tu!! Kesho yamekwisha ila ya msigwa ni vizazi kwa vizazi watayakuta.Sigwa nini bhana mambo iko Konda sasa hivi
Hahahaaa, yangu machoKumuelewa msigwa lazima IQ yako iwe inatosha, lakini yule mwingine huna haja ya kuwa nayo kubwa!! Kwani ni vapour tu!! Kesho yamekwisha ila ya msigwa ni vizazi kwa vizazi watayakuta.