Peter Msechu akiwa Dodoma kumuaga Hayati Magufuli

Ila piga ua, msechu kwa nyimbo zake mbili za maombolezo ya umetuacha imara na tutaonana magufuli kafunika vibaya mno, kawaacha wengine wote kwa mbali sana...
Tatizo ametaja jina ktk hizo nybo vinginevyo hizo nyimbo zingeweza kuwa zinatumika ktk matukio ya misiba mingine...
Anaweza kuziedit,na kuondoa jina,akauza mbaya.
 
Hivi alivyo hawezi fanya mazoezi, huu unene wa ugonjwa maana tumbo limejaa mafuta na uvimbe. Labda operation ndo inaweza kuondoa hayo manyama ila siyo mazoezi.
Operasheni ya kuondoa mafuta tumboni??, Mbona sijawahi kusikia mkuu?,hebu fafanua.
 
Huyu bwana mdogo yampasa kufanya juhudi binafsi kupunguza mwili huo
 
ππˆπ‹πˆπ€ππ™π€ πŠπ”πŒπ…π€π‡π€πŒπ” π€πŠπˆπ–π€ π€ππ€π’π‡πˆπ‘πˆπŠπˆ π“π”π’πŠπ„π‘ ππ‘πŽπ‰π„π‚π“ π‡π€πŠπ”π–π€ π‡πˆπ•πˆ, π’πŽπŒπ„π“π‡πˆππ† 𝐖𝐄𝐍𝐓 π–π‘πŽππ†
Alianza kushiriki BSS kabla hajaenda Tusker akiwa kijana mwembamba wa kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom