Peter Msechu akiwa Dodoma kumuaga Hayati Magufuli

Wakija kupata cancer au matatizo ya moyo watakimbilia kurogwa.

Au wataanza kusumbua watu wawaombee, jinga kabisa mwanaume mtu mzima kuwa na limwili la hovyo kiasi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi alivyo hawezi fanya mazoezi, huu unene wa ugonjwa maana tumbo limejaa mafuta na uvimbe. Labda operation ndo inaweza kuondoa hayo manyama ila siyo mazoezi.
Kuna juice ya VIUNGO Fulani vya CHAKULA akitumia huo mtambi wooote unayeyuka.kimsingianapaswa mwili ulingane na saiz ya miguu
 
Ila piga ua, msechu kwa nyimbo zake mbili za maombolezo ya umetuacha imara na tutaonana magufuli kafunika vibaya mno, kawaacha wengine wote kwa mbali sana...
Tatizo ametaja jina ktk hizo nybo vinginevyo hizo nyimbo zingeweza kuwa zinatumika ktk matukio ya misiba mingine...
 
Yaani, kama atakupa kisogo, anafanana na tembo kabisa.😊😊
 
Hivi alivyo hawezi fanya mazoezi, huu unene wa ugonjwa maana tumbo limejaa mafuta na uvimbe. Labda operation ndo inaweza kuondoa hayo manyama ila siyo mazoezi.
Operation na baada ya kupona abadilishe eating lifestyle yake, ikiwezekana awe vegetarian, na zoezi kila siku anga masaa kadhaa akisaidiwa na fitness coach na daktari wa lishe, atarudi sawa. Wengi size yake nimeona wakipitishwa hiyo process na wanarudi wepesi hata hutaamini.bora hela iwe, basi utapungua na pia uwe na morale ya zoezi.
 
Huyu jamaa ana tatizo la kiafya, ni mnene tumboni tu..kiunoni kushuka na kifuani kupanda anaonekana wa kawaida...ana condition fulani nafikiri...
Inaitwa 'Obesity' na sio nzuri kwa afya. Watu wengi wa namna hii hupata shida za heart attack, kupumua, kutolala usingizi mzuri na ukikosa kujitambua inakuwa hatari sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom